cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Bwana wewe mtu wa msoma watukana wachagga humu hamna mbele wala nyuma tulia wewe, tengenezeni kwanza vyoo ndio mje kutukana watu wenye Akili zao nchini Tanzania.Rudi darasani ukasome Jiografia. Ziwa halipatikani mkoa mzima wa MARA.
Ziwa Nyanza linapatikana eneo la Musoma MC na Musoma DC hasa eneo la Majita.
Halafu kuhusu vyoo sizungumzi sana kwasababu ninajua kuhusu hilo huko uchaggani kuliko wewe. Hivi karibuni tu, nimetoka kufanya CLTS ( Community_Led Total Sanitation ) pamoja na kampeni ya nyumba ni choo.
Kwahiyo ni bora ukakaa kimya tu kwenye hili, nisije nikakuwekea picha za kukudhalilisha humu.
Mkoa wenu tu ni moja ya mikoa maskini Tanzania, Sasa na wewe unatukana tu humu JF, hizo chuki zigeuzeni mubadili mkoa wenu kwanza, wanywa mbege wame progress kila sector nchi hii, na wanajulikana kimataifa, vipi nyie mkoa wenu?