Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Yeah mkuuNyonzo makeneke mfanyabiashara asiyeogopa hasara. Mama mtendaji kashakurudishia banda lako ulilookota!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mkuuNyonzo makeneke mfanyabiashara asiyeogopa hasara. Mama mtendaji kashakurudishia banda lako ulilookota!?
Kama hawana cha maana unahangaika nao wa nini!? Ishi maisha yako nao waishi maisha yao. Unawapangia waishije, wewe nani
Maswali ya ki spywho when why....
Fuatilia yako, au hayana faida?Nan kakwambia nafuatilia ujinga mm
Wanaokulaga ma udaga na ugali hawanaga akili, kazi Yao kutumia nguvu badala ya kuwa smartWenye akili ni kina nani huko, labda siwajui.
Furu na Udaga ndio chakula sahihi cha kuwafanya watu na Afya na ukakamavu.
Arusha na Moshi kuna nini ?
Ndizi na Kitimoto ???
Una ushahidi na hili ?
Au ushapiga Kiwingu ??
Mimi ni mzaramo, kuna biashara moja naifanya hapa Morogoro mjini, mtu aliyenipa wazo la kufanya hiyo biashara ni dada mmoja wa kichaga japo ni mkazi wa Arusha, sasa sijui kwanini upuuzi wa mtu mmoja au wawili unaujumuisha kwa watu wote wa Arusha.Washamba wakishavaa mamitumba yale wanajikuta wanajua wabaguzi huko maofisini sana
Mwanasiasa yupi ?Be positive, hakuna aliyetangaza kuwa anashindana na wa kaskazini, hatujaongelea maendeleo ya kikanda, ila ubaguzi, ambao ni SUMU kali mno kwa mshikamano wa taifa, si hao tu, mpaka baadhi ya wanasiasa wa kaskazini wana maneno ya kibaguzi. Ni ushamba!
Tunataka maendeleo ya TZ moja, na si vinginevyo. Got it?
We mtu wa Tanga?Bro kuna kitu huwajai kuona mm binafsi huwezi kunijua mtu wapi na kipind nimeenda chuga walikuwa wananipenda sana haswa niongeee mbaya zaidi kuna wana walikuwa hawanipendi
Mi naenda advance rafiki zangu walikuwa wa arusha , Kilimanjaro, mwanza kanda zote na kwa nn nilivyokuw nikiongea walikuwa wanapenda halafu sina utimu ila kuna vitu walikuwa wanaonyesha kwanza walianza kubagua sijui huyu ni wa sanya huyu sijui makanya ila pale skull hawakuwa na performance yeyote walikuwa wanaburuzwa na wadigo na watu wa mara ,tabora ila wako too theoretical kwamba wanajua sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
John makini alitoa ngoma na a.k.a akiisifu dalaja mbili na ngareloo, nahisi alitegemea ile ngoma isikike Arusha tuh... ile collabo ilikuwa ya International a.k.a yeye aliiwakilisha SA hku ndugu yetu ameng'ang'ania ngarelooNawasalimu kwa jina la JMT.
Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na Tony Olumelu wa BOA bank. Iliashiria umoja na upendo miongoni mwa wasanii huko Nigeria. Kwa pamoja wameamua kulipigania na kuliwakilisha taifa lao vyema. Hili suala lilinitafakarisha sana hasa kuhusu sanaa ya hapa Tanzania.
Watanzania wengi waliochangia maoni kwenye post zilizohusu show ya hiyo miamba walikuwa wakiwatupia lawama kali Diamond na Alikiba. Mimi niliona wako sawa kwasababu Diamond na Kiba ni kama nembo za muziki wetu wangeweza kuhamasisha mambo yakabadilika. Ila binafsi sikupenda kujikita sana kuwalaumu hao wawili kwasababu wamefanya mambo mengi makubwa kwenye sanaa ya Tanzania. Wakati nikitafakari ndo nikakumbuka hawa wasanii kutoka Arusha. Nilipatwa na hasira kali sana kuhusiana na mienendo yao.
Wasanii wa Arusha ni wenye vipaji vikubwa pia wana exposure kubwa kutokana na kukulia kwenye kitovu cha utalii. Miongoni mwa wasanii wa mwanzo kupiga show za kimataifa walikuwa kundi la X-plastaz kutoka Arusha. R.I.P father Nelly. Hata wakongwe Chindoman na wengine ni watu wanaoijua vizuri mitaa ya mabeberu. Tatizo lililopo kwa wasanii wengi wa Arusha ni hii tabia mbaya ya kujitenga. Wao kila sehemu wanataka wawe wao tu bila kujichanganya na watu toka mikoa mingine. Hii ni tabia mbaya ya ubaguzi ambayo baba wa taifa aliichukia sana. Hayati Mwalimu Nyerere angekuwa hai angewakemea wasanii wote wanaodai wao ni wa Arachuga.
Huu upuuzi umefanya muziki wa Arusha kuwa duni sana na kuishia kuwa wasanii wa hapahapa. Na hii tabia imeota mizizi hadi kwa watu wengine ambao sio wasanii. Aliyekuwa mbunge wa Arumeru Nassari alishawahi kupanda jukwaani na kuropoka kuwa kuwepo jamhuri ya watu wa kaskazini. Mkimaliza kujibagua kwamba mmetoka Arusha mtaanza kubaguana kwamba huyu katoka Kijenge yule Kaloleni au Majengo. Watu wa Arusha tujichanganye na kusimama na watanzania wengine kama taifa moja la Tanzania.
Jay z mbona kasifia New YorkJohn makini alitoa ngoma na a.k.a akiisifu dalaja mbili na ngareloo, nahisi alitegemea ile ngoma isikike Arusha tuh... ile collabo ilikuwa ya International a.k.a yeye aliiwakilisha SA hku ndugu yetu ameng'ang'ania ngareloo
haya mambo yanaturudisha nyuma sana...
Tatizo majamaa hata kwenye maisha ya kawaida wao hujitenga. Diamond ukitoa haya mabifu yake na kina kiba & harmonize lakini lazima tukiri hana haya mambo ya ukanda. Harmonize from Mtwara, Rayvany from Mbeya ambao chini ya Diamond wamekuwa wakubwa. Lakini ukija Weusi wanaojiita kampuni ni kwamba wote wametokea sehemu moja na ni ngumu kusikia hata wanasajili msanii toka kwingine.John makini alitoa ngoma na a.k.a akiisifu dalaja mbili na ngareloo, nahisi alitegemea ile ngoma isikike Arusha tuh... ile collabo ilikuwa ya International a.k.a yeye aliiwakilisha SA hku ndugu yetu ameng'ang'ania ngareloo
haya mambo yanaturudisha nyuma sana...
Hawana tofauti na wasauzi.najaribu tu kuwaza kwa arrogant, aggressiveness and ego ya vijana wa arusha na ubaguzi wao kwa vijana wengine wasio wa arusha, mkoa wa arusha ndio ungekuwa the main commercial city of tanzania, sisi wengine wangetufurusha na mapanga turudi tulikotoka.
nyerere aliona mbali sana kuufanya mkoa wa dar es salaam uwe jiji kubwa la kibiashara tanzanja likikusanya watu wa makabila yote wanaoishi pamoja kwa upendo .
pongezi za dhati ziende kwa wazaramo, wakwere na wandengereko kwa kuwa loyal kwa watu wengine ambao sio wa asili ya pwani.