Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Ok ni sahihi nikaita hizi ni hisia Hapa Jami Forums tunazungumza kwa Fact Unaweza uthibitishia umma ubaguzi wa watu wa Kaskazini kwa Ushahidi usio na shaka unaothibitika hata kwa zaidi ya hisia tu?
ni wabaguzi hasa wachaga sita sahau nilivyobaguliwa au kunyimwa kazi kisa bosi mchaga, me hata ushahidi ninao .
 
Wachagga na watu wa kaskazini asilimia kubwa ni wabaguzi na ni watu wa kupendeleana.

Ukiona mchagga au mtu wa huko anahitaji ukaribu au anajiweka karibu na wewe ujue kuna kitu anataka kunufaika kutoka kwako.

Lakini usitegemee hata siku moja kama mtu wa kaskazini au mchagga atakuona wewe ni mtu wa maana wakati huna kitu.

Tatizo kubwa kuna wapuuzi kabisa ambao wanatamani hata na wao wangekuwa wachagga au watu wa huko, hasa wakurya na wanyakyusa.

Yaani unakuta jitu mpaka limeanza kunywa pombe, mbege, kuvuta bangi na kuiga rafudhi ili na leneyewe lionekane ni la kaskazini.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na Tony Olumelu wa BOA bank. Iliashiria umoja na upendo miongoni mwa wasanii huko Nigeria. Kwa pamoja wameamua kulipigania na kuliwakilisha taifa lao vyema. Hili suala lilinitafakarisha sana hasa kuhusu sanaa ya hapa Tanzania.

Watanzania wengi waliochangia maoni kwenye post zilizohusu show ya hiyo miamba walikuwa wakiwatupia lawama kali Diamond na Alikiba. Mimi niliona wako sawa kwasababu Diamond na Kiba ni kama nembo za muziki wetu wangeweza kuhamasisha mambo yakabadilika. Ila binafsi sikupenda kujikita sana kuwalaumu hao wawili kwasababu wamefanya mambo mengi makubwa kwenye sanaa ya Tanzania. Wakati nikitafakari ndo nikakumbuka hawa wasanii kutoka Arusha. Nilipatwa na hasira kali sana kuhusiana na mienendo yao.

Wasanii wa Arusha ni wenye vipaji vikubwa pia wana exposure kubwa kutokana na kukulia kwenye kitovu cha utalii. Miongoni mwa wasanii wa mwanzo kupiga show za kimataifa walikuwa kundi la X-plastaz kutoka Arusha. R.I.P father Nelly. Hata wakongwe Chindoman na wengine ni watu wanaoijua vizuri mitaa ya mabeberu. Tatizo lililopo kwa wasanii wengi wa Arusha ni hii tabia mbaya ya kujitenga. Wao kila sehemu wanataka wawe wao tu bila kujichanganya na watu toka mikoa mingine. Hii ni tabia mbaya ya ubaguzi ambayo baba wa taifa aliichukia sana. Hayati Mwalimu Nyerere angekuwa hai angewakemea wasanii wote wanaodai wao ni wa Arachuga.

Huu upuuzi umefanya muziki wa Arusha kuwa duni sana na kuishia kuwa wasanii wa hapahapa. Na hii tabia imeota mizizi hadi kwa watu wengine ambao sio wasanii. Aliyekuwa mbunge wa Arumeru Nassari alishawahi kupanda jukwaani na kuropoka kuwa kuwepo jamhuri ya watu wa kaskazini. Mkimaliza kujibagua kwamba mmetoka Arusha mtaanza kubaguana kwamba huyu katoka Kijenge yule Kaloleni au Majengo. Watu wa Arusha tujichanganye na kusimama na watanzania wengine kama taifa moja la Tanzania.
umeongea point sana mkuu, hawa jamaa wanapenda kujibagua sana
 
Kweli wasukuma ni washamba
Nimebahatika kukaa na watu tofauti kutoka mikoa tofauti (bara na visiwani) na baadhi kutoka nchi tofauti.

Binafsi sioni kanda, kabila, wala taifa i only see people (intelligent and stupid people) and As far as m concerned, ts not a crime to be stupid.

Wapumbavu pia wanazeeka, wapumbavu pia wana marafiki, wapumbavu pia wanasoma, wapumbavu pia wanaweza kupata privileges kama wanazo pata wengine.

NB
Unapomshtaki mpumbavu kwa lolote basi jichunguze na wewe unaweza kua mmoja wa wapumbavu.
 
Makasiriko ya nini ndugu maisha sio magumu kama unavofikiria
 
Wachagga na watu wa kaskazini asilimia kubwa ni wabaguzi na ni watu wa kupendeleana.

Ukiona mchagga au mtu wa huko anahitaji ukaribu au anajiweka karibu na wewe ujue kuna kitu anataka kunufaika kutoka kwako.

Lakini usitegemee hata siku moja kama mtu wa kaskazini au mchagga atakuona wewe ni mtu wa maana wakati huna kitu.

Tatizo kubwa kuna wapuuzi kabisa ambao wanatamani hata na wao wangekuwa wachagga au watu wa huko, hasa wakurya na wanyakyusa.

Yaani unakuta jitu mpaka limeanza kunywa pombe, mbege, kuvuta bangi na kuiga rafudhi ili na leneyewe lionekane ni la kaskazini.
Mkuu kunya boga tu hivi wewe mtu wa mkoa wa Mara huna hadhi ya kuchukia wachaga mkuu, wewe ni hopeless huna mbele wala nyuma aisee, tulia acha ujinga
 
Makasiriko ya nini ndugu maisha sio magumu kama unavofikiria
Kwani kuna sehemu nimendika kwamba nimekasirika?
Nilicho kiandika nimekiandika makusudi ili mtoa mada akisome na wewe ukisome.
 
Mkuu kunya boga tu hivi wewe mtu wa mkoa wa Mara huna hadhi ya kuchukia wachaga mkuu, wewe ni hopeless huna mbele wala nyuma aisee, tulia acha ujinga
Wewe harisha hiyo mbege iliyochacha labda akili itakurudia.

Mimi kusema ukweli ni kuchukia wachagga?

Ulishawahi kuona nimeanzisha thread humu kuhusu wachagga au watu wa kaskazini ?

Kama mnaanzisha thread ili msifiwe, mimi siyo mtu wa kumwaga sifa.
 
Mtu wa mkoa wa Mara eti ana mtukana mchaga, watu Hawajui hata matumizi ya vyoo wanakunya ziwani aisee, heri ya mnywa mbege kuliko wanaokunya ziwani aisee.
 
Kwani kuna sehemu nimendika kwamba nimekasirika?
Nilicho kiandika nimekiandika makusudi ili mtoa mada akisome na wewe ukisome.
Kusoma sio shida ila ulichoandika ni matusi utakuwa na njaa wewe si bure
 
Mtu wa mkoa wa Mara eti ana mtukana mchaga, watu Hawajui hata matumizi ya vyoo wanakunya ziwani aisee, heri ya mnywa mbege kuliko wanaokunya ziwani aisee.
Rudi darasani ukasome Jiografia. Ziwa halipatikani mkoa mzima wa MARA.

Ziwa Nyanza linapatikana eneo la Musoma MC na Musoma DC hasa eneo la Majita.

Halafu kuhusu vyoo sizungumzi sana kwasababu ninajua kuhusu hilo huko uchaggani kuliko wewe. Hivi karibuni tu, nimetoka kufanya CLTS ( Community_Led Total Sanitation ) pamoja na kampeni ya nyumba ni choo.

Kwahiyo ni bora ukakaa kimya tu kwenye hili, nisije nikakuwekea picha za kukudhalilisha humu.
 
Back
Top Bottom