Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Kwanini watangazaji ni wa Huko...Hata hivyo Mkaskazini hawezi kuwa na chuki kama yako ( Kulingana na ulivyojipambanua )
Inferiority Complex ( Hisia za Unyonge zitakuua Kijana )
Hakuna inferior complex hawana jipya vile hatuna Shobo nao kwanza wanaonekana kama wezi wengi wao

Ishu wanaponda watu mfano kuwasema wasukuma wakibishana kidogo wanaleta ukaskzini wana nn cha maana tuliza mshono
 
Kuna mtu ameanzisha thread humu kuhusu ubaguzi wa wasanii wengi kutoka Arusha, kujitenga na kupambana kutangaza kanda na si kutangaza taifa letu. Hali inayopelekea kudumaa kimuziki na kutotoboa sana kimataifa. Huu ni ujinga, na hii ni sumu.

Nimethibitisha ni kweli madai haya kwa kurejea mifano ya watu wa kanda hiyo niliowahi kukutana nao, wengi(zaidi ya 95%) walikuwa na ukanda na ni wabaguzi SANA.

Badilikeni. Jukumu la kujenga TZ yenye mshikamano ni letu sote! Kujitenga tenga na kuleta ukanda si ujanja, ni ujinga na ni kujimaliza mwenyewe pamoja na taifa lako.
Jamuhuri yenu ya kusadikika ya Kanda ya ziwa iliporomoka kwa uwezo wa Mungu sasa mnataka kujisafisha kwa kusingizia wengine???
 
Wameimarisha baada ya Awamu ya 4 na ya 5 hasa ya 5 kuwatenga. Tuache sindano ituingie taratibu tupone ugonjwa wa ukabila na ukanda tuliojitakia wenyewe. Wakaskazini hatuwawezi hata tutambike. Wenzetu wameshatuacha mbali
Be positive, hakuna aliyetangaza kuwa anashindana na wa kaskazini, hatujaongelea maendeleo ya kikanda, ila ubaguzi, ambao ni SUMU kali mno kwa mshikamano wa taifa, si hao tu, mpaka baadhi ya wanasiasa wa kaskazini wana maneno ya kibaguzi. Ni ushamba!

Tunataka maendeleo ya TZ moja, na si vinginevyo. Got it?
 
Kama ambavyo tamaduni hazifanani Mkubali kwamba Watu wa Kule hawafanani na ninyi.
Kuchangamana ni uamuzi wa Mtu ( Nimesoma Tanzania kwa ngazi zote Wasukuma huishi kwa makundi wao pekee nk )
Mimi nina marafiki wachache Angalau wanafanana tabia na mimi.....Siwezi kuwa na mazoea na kila mtu vinginevyo tutagombana bahati mbaya wenye tabia za kufanana tofauti na wa kule ni wachache.
Kingine kutoka ndani kabisa nikimuona yeyote kutoka kule nahisi furaha kwani tunatokea sehemu moja kumbe wenzetu mnachukia.
Kuhusu namna tunazungumza tunajikubali hii ni tofauti na Wasukuma kwa mfano ambao uzungumzaji wao ...wao wenyewe hawaupendi sasa sisi tutafanya nini zaidi ya kuwacheka.
Hatuwabagui lakini ni vyema tukaishi hivi yaani kama jamii za wahindi ama wazanzibari...
Mkubali kutofautiana na sisi na sio kubaguliwa na sisi.
 
Kuna Taasisi hapa watu waliomba intership walichukua wachag na wpare tu 6 hakuna mtu baki alipata kwa kweli na hawana performance yeyote ile kisa mkuu fulani ni mchaga na mama alipoingia alimtimua yule mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ndiyo malipo ya ubaguzi wa kikabila, sasa unawabagua wa-TZ wenzio halafu unatimuliwa. Ubaguzi/ukanda ni sumu itafunayo taratibu.
 
Kuna Taasisi hapa watu waliomba intership walichukua wachag na wpare tu 6 hakuna mtu baki alipata kwa kweli na hawana performance yeyote ile kisa mkuu fulani ni mchaga na mama alipoingia alimtimua yule mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Alimuamisha au alimuachisha kazi mazima?
 
Kama ambavyo tamaduni hazifanani Mkubali kwamba Watu wa Kule hawafanani na ninyi.
Kuchangamana ni uamuzi wa Mtu ( Nimesoma Tanzania kwa ngazi zote Wasukuma huishi kwa makundi wao pekee nk )
Mimi nina marafiki wachache Angalau wanafanana tabia na mimi.....Siwezi kuwa na mazoea na kila mtu vinginevyo tutagombana bahati mbaya wenye tabia za kufanana tofauti na wa kule ni wachache.
Kingine kutoka ndani kabisa nikimuona yeyote kutoka kule nahisi furaha kwani tunatokea sehemu moja kumbe wenzetu mnachukia.
Kuhusu namna tunazungumza tunajikubali hii ni tofauti na Wasukuma kwa mfano ambao uzungumzaji wao ...wao wenyewe hawaupendi sasa sisi tutafanya nini zaidi ya kuwacheka.
Hatuwabagui lakini ni vyema tukaishi hivi yaani kama jamii za wahindi ama wazanzibari...
Mkubali kutofautiana na sisi na sio kubaguliwa na sisi.
Bro kuna kitu huwajai kuona mm binafsi huwezi kunijua mtu wapi na kipind nimeenda chuga walikuwa wananipenda sana haswa niongeee mbaya zaidi kuna wana walikuwa hawanipendi

Mi naenda advance rafiki zangu walikuwa wa arusha , Kilimanjaro, mwanza kanda zote na kwa nn nilivyokuw nikiongea walikuwa wanapenda halafu sina utimu ila kuna vitu walikuwa wanaonyesha kwanza walianza kubagua sijui huyu ni wa sanya huyu sijui makanya ila pale skull hawakuwa na performance yeyote walikuwa wanaburuzwa na wadigo na watu wa mara ,tabora ila wako too theoretical kwamba wanajua sana 🤣🤣🤣
 
Hakuna inferior complex hawana jipya vile hatuna Shobo nao kwanza wanaonekana kama wezi wengi wao

Ishu wanaponda watu mfano kuwasema wasukuma wakibishana kidogo wanaleta ukaskzini wana nn cha maana tuliza mshono
Nimezaliwa kaskazini Tena Arusha Pale ni nyumbani.... Naishi Dar hapa sio kwetu watu naofanya nao deals ni kutoka kaskazini kwasababu tunashabihana sana. Nawaheshimu sana ninyi wengine lakini hatuna tunachofanana ( Hapa inabidi ukubali tu )
Ok mfano mimi nakunywa mbege na najivunia ni asili yangu.
Nazungumza kiswahili chenye athari za lugha za kule.
Naamini naotoka nao kule .
December tunarudi wote .
Tunashindana kuboresha maisha ya kule.
Mpaka hapo wewe unaingia wapi?
Hata ukikasirika ukatoa maneno makali hatufanani Hii sio kwa ubaya ila ndo uhalisia....
( Tunaipenda Tanzania kwa sababu Kaskazini yetu Ipo ndani ya Tanzania)
 
Kama ambavyo tamaduni hazifanani Mkubali kwamba Watu wa Kule hawafanani na ninyi.
Kuchangamana ni uamuzi wa Mtu ( Nimesoma Tanzania kwa ngazi zote Wasukuma huishi kwa makundi wao pekee nk )
Mimi nina marafiki wachache Angalau wanafanana tabia na mimi.....Siwezi kuwa na mazoea na kila mtu vinginevyo tutagombana bahati mbaya wenye tabia za kufanana tofauti na wa kule ni wachache.
Kingine kutoka ndani kabisa nikimuona yeyote kutoka kule nahisi furaha kwani tunatokea sehemu moja kumbe wenzetu mnachukia.
Kuhusu namna tunazungumza tunajikubali hii ni tofauti na Wasukuma kwa mfano ambao uzungumzaji wao ...wao wenyewe hawaupendi sasa sisi tutafanya nini zaidi ya kuwacheka.
Hatuwabagui lakini ni vyema tukaishi hivi yaani kama jamii za wahindi ama wazanzibari...
Mkubali kutofautiana na sisi na sio kubaguliwa na sisi.
Watu si wajinga kihivyo, ingekuwa utofauti tusingejisumbua kuandika thread hapa, kuna kubwa mno mbali na nyie kuwa tofauti kama usemavyo. Halafu issue si kufurahi kukutana na mtu wa ukanda wako, hilo sio jambo baya. Watu wanalalamikia ubaguzi, kwa kuongea, kwa kutenda n.k, bad enough kwa kanda ambazo si za kaskazini. Ni ushamba, TZ ni moja, hakuna mwenye mamlaka ya kufikiri watu kutoka ukanda fulani ni bora, na watu kutoka ukanda huu ni makapi!
 
Back
Top Bottom