longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
Nafikiri Wewe unatazama hili kwa mashindano Nakuambia Mimi natoka kaskazini..Kaskazini sio kabila ni Spirit Mkuu....Mfano Unadhani G.Nako ni Mchaga?Bro kuna kitu huwajai kuona mm binafsi huwezi kunijua mtu wapi na kipind nimeenda chuga walikuwa wananipenda sana haswa niongeee mbaya zaidi kuna wana walikuwa hawanipendi
Mi naenda advance rafiki zangu walikuwa wa arusha , Kilimanjaro, mwanza kanda zote na kwa nn nilivyokuw nikiongea walikuwa wanapenda halafu sina utimu ila kuna vitu walikuwa wanaonyesha kwanza walianza kubagua sijui huyu ni wa sanya huyu sijui makanya ila pale skull hawakuwa na performance yeyote walikuwa wanaburuzwa na wadigo na watu wa mara ,tabora ila wako too theoretical kwamba wanajua sana 🤣🤣🤣