Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Nafikiri Wewe unatazama hili kwa mashindano Nakuambia Mimi natoka kaskazini..Kaskazini sio kabila ni Spirit Mkuu....Mfano Unadhani G.Nako ni Mchaga?
 
Ni ideologies za kibaguzi, ukanda haujawahi kuacha sehemu yoyote salama.
 

Linavuta nini?[emoji31]
Mibangi eti wanamtetea bifu likaanza yaani hawajiamini kusimama mmoja mtu mna bishana anaanza nyie masikini na hapo alikuomba jero anywe chai

Mara ona wakina mengi walivyo na pesa ni watu wa kaskazini anakwambia yeye hana analeta ukabila
 
Ok ni sahihi nikaita hizi ni hisia Hapa Jami Forums tunazungumza kwa Fact Unaweza uthibitishia umma ubaguzi wa watu wa Kaskazini kwa Ushahidi usio na shaka unaothibitika hata kwa zaidi ya hisia tu?
 
Hata mimi zamani nilidhani watu wa kaskazini wanaubaguzi na kujitenga lakini nilipoishi nao niligundua wale watu utamaduni wao ni tofauti na tamaduni nyingi sana za Tanzania. Kwanza kabisa watu wa kaskazini wako chap chap kwenye kila kitu, wako serious na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, wako serious na elimu. Hawa watu wanaushirikiano sana tofauti na makabila mengine, hawa watu hawapendi usnichi kitu ambacho makabila mengi yana hii tabia. Hawa watu wakikuambia "Stop this" bora ukaacha, they are focused.


Ni changamoto kubwa sana wakaskazini kuishi na mgoni, msukuma au mzaramo kama hawataweza kuendana na kasi yao. Wakaskazini sio wavivu wavivu lakini makabila mengi Tanzania ni wavivu, wakaskazini sio waoga lakini makabila mengi Tanzania ni waoga balaa. Sasa hizi personalities zao ndyo hufanya waonekane kama wabaguzi au wanajitenga kwasababu wanashindwa kupata watu ambao wanaendana nao lakini mimi sio mchagga lakini nimeishi nao muda mrefu kiasi kwamba nime cope tabia zao naonekana kama wa kaskazini.
 
Kikosi kazi acheni kulia lia, katika utamaduni wa hiphop ni jambo la kawaida msanii kusifia eneo analotoka na wengi hupenda kutambulika kama wao ndio wakubwa (kimuziki) kutoka eneo/jamii fulani, Rejea kwa fid q(Rock city native), joh makini (Mwamba wa kaskazini), Nas (Bronx) etc
 
Naked Truth
 
The point is this, hakuna anayekukataza kuchangamana au kupiga deal na watu wa ukanda wako. Pia hakuna anayelazimisha kuungana wala kuzoeana na wewe, achilia mbali kupiga deal na wewe. Watu wanachokataa ni ubaguzi dhidi ya kanda zingine, kwa maneno, matendo na kutokukubali kuwa TZ ni moja iunganishayo kanda zote. Rejea maneno ya Nyerere! Again[emoji117] hakuna anayetaka kuungana na wewe katika deals au kuzoeana, watu hawataki maneno yenu ya kibaguzi maofisini, majukwaani n.k, dhidi ya kanda zingine. Only that!
 
Kuna Taasisi hapa watu waliomba intership walichukua wachag na wpare tu 6 hakuna mtu baki alipata kwa kweli na hawana performance yeyote ile kisa mkuu fulani ni mchaga na mama alipoingia alimtimua yule mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna meneja mmoja wa kampuni wa huko kaskazini aliwahi kuninyima kazi tena siku ya mwisho naenda kusaini mkataba, akauliza mimi kabila gani, nilivyomtajia tu shughuli ikaishia hapo alinitamkia maneno ya ukabila ya kutisha ambayo sitayasahau maisha yangu yote. Kuna siku ntamlipua humu. Nachukia ukabila kuliko chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…