Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Ila sasa clouds naona kama taratibu wanapoteza ile touch ya promo walizokuwa wakifanya zamani this time around. Naona kama hawako well organized sijui ni feeling yangu au vipi ila that is how I see it.
Clouds hawajare tocover kutokana na pengo la Ruge.
Na nimemsikiia Bdozen anakiri kwamba Ruge angekuwepo asingehama.

So you can guess nini kinaendelea.
 
Sio Kodi tu huyo ni BET WINNER usimfananishe na mbugira za mtwara
 
Zikapigwe jembe fm mwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania hata wewe ukuandaliwa tamasha na Clouds au Wasafi utapata watu tu na pesa utapata.

Huhitaji kuimba wala kutunga saaana, imba hata cover tu.

Mashabiki wengi Tanzania ni misukule
Hizo showbiz anazo Harmorapa, mafanikio yske yakoje ?
By the way wewe ni memkwa b, maana hauelewi harmolapa ndo unasema Ana showbizz ambae hata kuongea hajui seriously? ZUCHU NI BRAND KUBWA SAWA DOGO.
 
Clouds hawajare tocover kutokana na pengo la Ruge.
Na nimemsikiia Bdozen anakiri kwamba Ruge angekuwepo asingehama.

So you can guess nini kinaendelea.
Dozen kasema hivyo? Really? Basi kutakuwa kuna mambo hayako sawa maana siku hizi naona kama vile kila kitu kiko ovyo hovyo..
 
Akiondoka hapo Wasafi wewe huyu huyu utakuja hapa kutwa kuchwa unamporomoshea matusi.

Dini aliyofanikiwa kuwachomeka huyo Diamond ni nzito
 
mmakonde ana kitambi
 
Dozen kasema hivyo? Really? Basi kutakuwa kuna mambo hayako sawa maana siku hizi naona kama vile kila kitu kiko ovyo hovyo..
Yes, msikilize kupitia Gerezani ya EFM imo youtube
 
Akiondoka hapo Wasafi wewe huyu huyu utakuja hapa kutwa kuchwa unamporomoshea matusi.

Dini aliyofanikiwa kuwachomeja huyo Diamond ni nzito
Nadhani wewe ni mmoja wapo unaemfuatilia mond sana die fans wa mond sema unajikaza tu
 
Wote ongeeni ila Muda ndio utakao tupa majibu,kuna siku muda utaongea.................baadae tutakuwa na jibu moja kama wamepatia au wamekosea ni swala muda tuwape muda vijana.
 
Nadhani wewe ni mmoja wapo unaemfuatilia mond sana die fans wa mond sema unajikaza tu
Mimi ni shabiki wa muziki mzuri na sipendi usukule.

Nina Group la Facebook very hot la Wasafi watu 250k+ lakini hiyo siyo sababu ya kuwapa umungu mtu watu na kuona wengine hawawezi kufanya kitu.

Hata Diamond kapambana na Clouds ndio kasimamama .

Maendeleo na hatua kimaisha huja baada ya kutatua challenges
 
Clouds hawajare tocover kutokana na pengo la Ruge.
Na nimemsikiia Bdozen anakiri kwamba Ruge angekuwepo asingehama.

So you can guess nini kinaendelea.
Ruge alikuwa anawapa jeuri sana ma prisenter wake kwa jasho la wasanii. Tulimuona Adam mchomvu kwenye hivi ni kweli ya wasafi. Diva loveness alivimbishwa sana bichwa kiasi kujiona yeye ni mkubwa kushisnda mond. Soon ataomba poo maana clouds wanapoteana now
 
Sawa mbona mwenzake rayvanny ametulia tu. Kwanza angejipima ki uwezo suala la label linahitaji watu wengi. Pale wasafi kuna timu ambayo kabla ya nyimbo kuachiwa wana ipima kwanza. Kumbuka harmo kipindi yupo wcb ngoma yake nishapona ilizuiliwa akaiongeza manjonjo ndio ikakubaliwa nishachoka. Compare kwangaru. Never give up. Show me, sasa anaimba vijembe vingi ngoma hazishawishi
Huoni ana force kiki hadi anataka kupasuka makalio kupanda juu ya nyaya amegeuka don yen yeye au 🤣😂
 
Mara
Kweli mkuu,Yule jamaa 'Ndege' yuko njema sana.Enzi hizo ile beach yake ya Jembe ni jembe ilikua inajaza watu sio mchezo na alipiga pesa fresh sana.

Nadhani hata exposure hua anayo ya kutosha,atafika mbali.
Kwasasa beach yake Inashida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…