Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Clouds hawajare tocover kutokana na pengo la Ruge.Ila sasa clouds naona kama taratibu wanapoteza ile touch ya promo walizokuwa wakifanya zamani this time around. Naona kama hawako well organized sijui ni feeling yangu au vipi ila that is how I see it.
Na nimemsikiia Bdozen anakiri kwamba Ruge angekuwepo asingehama.
So you can guess nini kinaendelea.