Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Ila sasa clouds naona kama taratibu wanapoteza ile touch ya promo walizokuwa wakifanya zamani this time around. Naona kama hawako well organized sijui ni feeling yangu au vipi ila that is how I see it.
Clouds hawajare tocover kutokana na pengo la Ruge.
Na nimemsikiia Bdozen anakiri kwamba Ruge angekuwepo asingehama.

So you can guess nini kinaendelea.
 
Muziki wa Tanzania hauko hivyo..

Labda kama nia yako ni kupata mademu na umaarufu.

Ndio maana tasnia ya burudani Tanzania inakuwa lakini wanaotajirika siyo wasanii.

Wanaopiga pesa ni media houses/promoters, owners na Managers jama Wasafi festival, Fiesta ba Prime time.
Hao kina Rayvanny wanapata oesa ya kulipa kodi tu.
Sio Kodi tu huyo ni BET WINNER usimfananishe na mbugira za mtwara
 
Hao wanaofanya hiyo comparison ni hao hao mashabiki wa Wasafi na lengo lao ilikuwa ni kujenga chuki ya kibeef wampandushe Zuchu.
Ndio maana kwa kuwa Nandy anafanya vizuri kwasasa wametumia media yao kwa kumtumia Gig money apambane kujenga uninga wa kumshusha.
Yaani hao Wasafi ukiwa na akili zao timamu unawaina walivyo majoka ya kishetani.

Ndio maana ingawa Kiba ni kiburi ila sometimes namuelewa, walitaka kumtumia akashtuka.

Wanajifanya kinafski media yao eti ya kwetu sote wakati ngoma za Mavoko na Kondegang hawapigi
Zikapigwe jembe fm mwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania hata wewe ukuandaliwa tamasha na Clouds au Wasafi utapata watu tu na pesa utapata.

Huhitaji kuimba wala kutunga saaana, imba hata cover tu.

Mashabiki wengi Tanzania ni misukule
Hizo showbiz anazo Harmorapa, mafanikio yske yakoje ?
By the way wewe ni memkwa b, maana hauelewi harmolapa ndo unasema Ana showbizz ambae hata kuongea hajui seriously? ZUCHU NI BRAND KUBWA SAWA DOGO.
 
Clouds hawajare tocover kutokana na pengo la Ruge.
Na nimemsikiia Bdozen anakiri kwamba Ruge angekuwepo asingehama.

So you can guess nini kinaendelea.
Dozen kasema hivyo? Really? Basi kutakuwa kuna mambo hayako sawa maana siku hizi naona kama vile kila kitu kiko ovyo hovyo..
 
Zuchu anafanya POA sio kuliko ibra tu sasa hivi umaarufu wa zuchu kamzidi hadi huyo konde . Ukitaka proof angalia hata mtaani kwako ngoma za nani zinalia Sana.
Halafu mimi ninaona kina cheed na killy wamefail sana kwenda kwa harmonize. Ni bora wangebaki kwa kiba tu
Akiondoka hapo Wasafi wewe huyu huyu utakuja hapa kutwa kuchwa unamporomoshea matusi.

Dini aliyofanikiwa kuwachomeka huyo Diamond ni nzito
 
Wasanii wawili waliokimbia label ya king's music ya Alikiba, Cheed na Killy hatimaye wametambulishwa rasmi katika label ya Kondegang ya Harmonize.

Kwa sasa label hiyo ina jumla ya wasanii 5 tangu kuanzishwa kwake ikiwa ni chini ya mwaka mmoja tu pia inasimamia kazi za msanii skales kutoka nchini Nigeria katika Afrika Mashariki.

Awali msanii Q Chila aliwahi kuhusishwa na label hiyo lakini karibuni alifunguka na kusema hakusaini Kondegang kwa sababu Harmonize hawezi kumlipa.

mmakonde ana kitambi
 
Dozen kasema hivyo? Really? Basi kutakuwa kuna mambo hayako sawa maana siku hizi naona kama vile kila kitu kiko ovyo hovyo..
Yes, msikilize kupitia Gerezani ya EFM imo youtube
 
Akiondoka hapo Wasafi wewe huyu huyu utakuja hapa kutwa kuchwa unamporomoshea matusi.

Dini aliyofanikiwa kuwachomeja huyo Diamond ni nzito
Nadhani wewe ni mmoja wapo unaemfuatilia mond sana die fans wa mond sema unajikaza tu
 
Wote ongeeni ila Muda ndio utakao tupa majibu,kuna siku muda utaongea.................baadae tutakuwa na jibu moja kama wamepatia au wamekosea ni swala muda tuwape muda vijana.
 
Nadhani wewe ni mmoja wapo unaemfuatilia mond sana die fans wa mond sema unajikaza tu
Mimi ni shabiki wa muziki mzuri na sipendi usukule.

Nina Group la Facebook very hot la Wasafi watu 250k+ lakini hiyo siyo sababu ya kuwapa umungu mtu watu na kuona wengine hawawezi kufanya kitu.

Hata Diamond kapambana na Clouds ndio kasimamama .

Maendeleo na hatua kimaisha huja baada ya kutatua challenges
 
Clouds hawajare tocover kutokana na pengo la Ruge.
Na nimemsikiia Bdozen anakiri kwamba Ruge angekuwepo asingehama.

So you can guess nini kinaendelea.
Ruge alikuwa anawapa jeuri sana ma prisenter wake kwa jasho la wasanii. Tulimuona Adam mchomvu kwenye hivi ni kweli ya wasafi. Diva loveness alivimbishwa sana bichwa kiasi kujiona yeye ni mkubwa kushisnda mond. Soon ataomba poo maana clouds wanapoteana now
 
Mimi ni shabiki wa muziki mzuri na sipendi usukule.

Nina Group la Facebook very hot la Wasafi watu 250k+ lakini hiyo siyo sababu ya kuwapa umungu mtu watu na kuona wengine hawawezi kufanya kitu.

Hata Diamond kapambana na Clouds ndio kasimamama .

Maendeleo na hatua kimaisha huja baada ya kutatua challenges
Sawa mbona mwenzake rayvanny ametulia tu. Kwanza angejipima ki uwezo suala la label linahitaji watu wengi. Pale wasafi kuna timu ambayo kabla ya nyimbo kuachiwa wana ipima kwanza. Kumbuka harmo kipindi yupo wcb ngoma yake nishapona ilizuiliwa akaiongeza manjonjo ndio ikakubaliwa nishachoka. Compare kwangaru. Never give up. Show me, sasa anaimba vijembe vingi ngoma hazishawishi
Huoni ana force kiki hadi anataka kupasuka makalio kupanda juu ya nyaya amegeuka don yen yeye au 🤣😂
 
Yes, inasikika Mwanza.

Na hao watu ukiangalia wamejipanga. Huyo Jembe ni Jembe ana mpaka tamasha linaitwa Jembeka Festival na huwa wanaleta wasanii wakubwa kama Wizkid.

Huyo Jembe ni Jembe ni hatari yawezekana kuliko Sallam ila ni mtu wa kimya kimya.

Check endorsement za Harmonize ndani ya muda mfupi tu ambazo hata Kiba hajawahi kupata.
So baada muda usishangae Jembe fm na TV zinasikika nchi nzima na tamasha lao Jembekat Festival linaruka mikoa mingi
Mara
Kweli mkuu,Yule jamaa 'Ndege' yuko njema sana.Enzi hizo ile beach yake ya Jembe ni jembe ilikua inajaza watu sio mchezo na alipiga pesa fresh sana.

Nadhani hata exposure hua anayo ya kutosha,atafika mbali.
Kwasasa beach yake Inashida gani?
 
Back
Top Bottom