figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mhhhh!Kwa wooote nilimpenda Q chief jamani aliimba yule kaka ooh u hali gani tanita....
Nikilala naotaaa, naota kama unaniita ila nafsi inasiita mpenzi.....
Na haya mashairi niliyatumia zamani kidogo kumtongoza Aika kwenye barua yangu kwake ila isivyo bahati barua ile ikadindokea mikononi mwa mzee kipili naye akanitangaza manzese yote ,changanya na kacheo kangu wakati huo ikawa aibu ya mwaka .Kwa wooote nilimpenda Q chief jamani aliimba yule kaka ooh u hali gani tanita....
Nikilala naotaaa, naota kama unaniita ila nafsi inasiita mpenzi.....
Kumbe hii ndiyo ID yako Mr. pimbi hater wa Ally na HarmoSalaam Wakuu,
1. Ni aibu sana.. Msanii unaingia kuimba unapiga kelele. Kwa kelele hizo, pumzi zinakata hata hajamaliza Beti ya kwanza.
View attachment 3627514
2. Wanalazimisha watu kuweka mikono juu, kupiga vigeregere, kuoiga miluzi nk.
3. Tumelipa kiingilio tuimbiwe, lakini msanii akipanda anamwambia DJ azime muziki tuimbe sisi. Nani kalipa ili aimbiwe.
4. Msanii anapanda jukwaani haimbi badala yake anacheza nyimbo zake. Unajiuliza kaja kuimba au kucheza nyimbo zake.. Yaani ni kama kaleta sura yake watu wamuone.
Kwa tamasha la miaka 30 ya bongo Fleva, Shukrani kwa Jumana nature, Solid Ground Family Daz Baba, Mabaga Flesh, Alikiba, Jua kali, Hard Mad, Luteni Karama wa Gangwe mob na Nwasti.
Kuna wengine walikuwa wanaimba utadhani nyimbo sio zao, hata hawazijui. Pamoja na kuwekewa CD, bado wanashindwa kuifuatisha🤣🤣🤣 .
Je hawakufanya mazoezi. Matako yenu..
View attachment 3627528
Kumbe nawe ni msanii?Hata wewe matako yako
😀😀😀😀Umesahau kushika na kushikishwa kende sijui ndo wanakumbuka mistari
Mike Iko mdomoni mkono mmoja unapelekwa kendeni wanaudhi sana hawa jamaa
Lakini walipewa muda wa mwezi mzima kujiandaa.. Wakawa wanashinda wanakunywa mapombeKweli wasanii wengi walikua wamesahau nyimbo zao tayari