Wasanii wa bongo kumbe ni maskini wa kutupa

Wasanii wa bongo kumbe ni maskini wa kutupa

Mkuu tambua kuwa matibabu ni gharama sana, wasanii wachache sana ambao wakifikwa na maradhi wanaweza kujitibia bila kuomba msaada, fikiria Marehemu Ruge au Prof Jay kwa hadhi yao ila nae walipitisha michango
Unajua kumaliza pesa mpaka urithi wako wanaona Bora wakukabizi kwa wananchi.

Familia ya Ruge na ifahamu vizuri sana Yani ukianza na ukoo wao walikuwa wanaweza kumaliza yote,ukianza na marafiki na kusaga nistopishe
 
Ni lini umenunua kazi ya Msanii au ni nani mtu wako wa karibu umeona ana tabia ya kununua au wote ni mwendo wa piracy ?!!!

Kwahio usishangae kama tasnia hii haina pesa za kumwaga; vilevile playing the part ndio usanii wenyewe (wanauza a status they need to portray being stars / better than average)

Anyway badala ya kulaumu watu wanakosa huduma muhimu (basic need) kwa watunga sera kutokufikisha huduma hizi muhimu unalaumu kwanini watu wasichangiane / tembeza bakuli ? Kodi zetu zinafanya nini ?
 
Ni lini umenunua kazi ya Msanii au ni nani mtu wako wa karibu umeona ana tabia ya kununua au wote ni mwendo wa piracy ?!!!

Kwahio usishangae kama tasnia hii haina pesa za kumwaga; vilevile playing the part ndio usanii wenyewe (wanauza a status they need to portray being stars / better than average)

Anyway badala ya kulaumu watu wanakosa huduma muhimu (basic need) kwa watunga sera kutokufikisha huduma hizi muhimu unalaumu kwanini watu wasichangiane / tembeza bakuli ? Kodi zetu zinafanya nini ?
Tuulize ccm na wewe uliyekosa bando kustream
 
Wasanii wanazo pesa wala usidanganywe ila kuna kitu kunaitwa "aliye nacho aongezewe" ..Pia kipindi cha kuumwa hata uwe na billion 1 bank na magonjwa kama hayo ya upumuaji ya kulipia zaidi ya 700k per day na mengi hakuna guarantee ya kupona unaweza kukaa zaidi ya mwaka ...

Kuchangisha ni kuangalia muikito wa mashabiki wake na wadau ,kwa vile msanii ni ishu ya nationalwide na ana mashabiki pande zote ,katika grass root level wewe ukiumwa kama ni mtu wa ofisi watajulishwa wadau wako wa ofisini ,ndugu ,majirani na jamaa maana hawa wanaguswa moja kwa moja ....Ila msanii ni nchi nzima maana mziki unagusa wote.

Huo ndio uafrika kama misiba kila siku ipo mingi ila tunaguswa na ile ya watu tunawafahamu na tuna uhusiano nao wa moja kwa moja...kama kila msiba unakugusa na kulia basi ungekuwa kila siku unalia kwa vile kila siku ajali zinatokea ,watu wanakufa kwa magonjwa .

Unatumia pesa ila kurudi kupona na kurudi kawaida ni ndoto za mchana japo inawezekana ,iyo billion inapukutika huku upo kitandani huingizi chochote kile.

Afya ni mtaji kila siku mnasisitizwa katembeleeni wagonjwa ili kujua umuhimu wa afya yako na uzima.
 
Magonjwa humaliza pesa.

Wasanii wakiacha usanii, watasaidika sana bila masimango.

Marehemu alimewahi kunukiliwa akisema bajeti yake kwa siku kwenye msosi ni wastani wa milioni 5 pesa tasilimu ya Kitanzania.
 
Nimeshangaa wagawa marange, wanatumia pesa kutunza, matajiri wa biliani na bilioni wakishindwa kumsaidia dada aliyefariki na wao wakitembeza bakuli.

Wasanii acheni uongo na ugonjwa ndiyo utajua utajiri wako
Kuomba msaada ni ishara ya kwamba, "upo kwenye jamii ya watu wanaoishi kwa mshikamamo nyakati zote za shida na raha"

Mtu kama MO Dewji akifikwa na janga kama kufiwa na mtoto (Please God forbid), kisha watanzania wakamchangia pesa, sio kama hana pesa za kugharamia mazishi, la hasha, bali "ile ni ishara ya mshikamano ndani ya jamii anamoishi na ishara kuwa anajua kuishi vema na watu"
 
Just imagine huyo dada kaumwa hata week hajamaliza wasanii karibia wote wanaomba michango kwa jamii. Tulitegemea wao wachange kwanza kwa msanii mwenzao then baadae ndo waje kwa jamii. Kwa hili kuna kitu hakipo sawa na wana jambo kubwa la kujifunza na wajitafakari. Nn maana ya wao kuwa na umoja wa wasanii kama wao hawawez kusaidina.?
 
Hakuna anaeweza kuwa tajiri mbele ya maradhi ndo maana tajiri anaeishi kwenye nyumba yenye ulinzi mkali matibabu anafanyiwa india/German anakufa alaf kichaa anaelala na kula jalalani anabaki hai
 
Back
Top Bottom