Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wanatudhalilisha sana mkuuMtafanya tutukaniwe mpaka mama zetu
Mtu aliyefeli shule huko ndani ndani eti naye anapanua kinywa kumsema Martha dah, confidence na ujinga vikikutana ni Combo mbaya sanaHahaha
Eti msanii wa bongo muvi anashindana na bonge la literate east africa martha.
Msaaani huyu ambae jini amevaa tisheti ya simba ana kimbia bajaj isimgonge bara barani
FOOLS.
Anyway mi nadhania tanzania ni bonge la nchi yenye uendawazimu ambao umekuwa glorified kuwa kitu cha kawaida
Wanaenda na Macamera kabisa, watu wa hivi ni wa kuachwa tu na upumbavu wao😱 😱 😱 😱 😱 Tz ina vituko hatari, yaani mpaka aibu.Wanaowapa airtime watu wa aina hii wanafanana nao
Anaongea hivyo ila akikutanishwa na Martha Karua face to face utaona anavyorudisha mkia nyuma kama Mbuzi wa Ukerewe.Wakuu
Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?
Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli.
===
Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka kikaaangoni Wakili Martha Karua kutoka nchini kenya wakati akiongea na waandishi wa habari muda huu jijini Dar es salaam.
View attachment 3342980
View attachment 3342984
Nakuambia mkuu hii tanzania ni nchi ya vituko sanaaaaaa mkuu.Mtu aliyefeli shule huko ndani ndani eti naye anapanua kinywa kumsema Martha dah, confidence na ujinga vikikutana ni Combo mbaya sana
Wachumia tumbo wanakula tu pesa za walipa kodi inauma sana kuona sagaji la taifa linatapanya tu pesa ambazo bodaboda, mamantilie na wavuja jasho wengine wanalipia kupitia tozo na kodi mbalimbali. Any uzuri ana muda mfupi sana wa kuendelea kufanya uchafu wake.Wakuu
Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?
Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli.
===
Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka kikaaangoni Wakili Martha Karua kutoka nchini kenya wakati akiongea na waandishi wa habari muda huu jijini Dar es salaam.
View attachment 3342980
View attachment 3342984
HAhhahah, hivi hiyo ndiyo foo ya mwisho mkuu au?Product ya shule za kata na four za 33 na zero
Ndio maana wanafunza kichwani
Na ndiyo maana watawala bado wanatuchukulia poaNakuambia mkuu hii tanzania ni nchi ya vituko sanaaaaaa mkuu.
Hivi kama tunawatumia hawa jamaa badala ya mawaziri kwakweli haileti uhai ktk Diplomasia yetu ya kimataifa.Mtafanya tutukaniwe mpaka mama zetu
Wapumbavu ni hao wenye cameraWanaenda na Macamera kabisa, watu wa hivi ni wa kuachwa tu na upumbavu wao