Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,780
- 16,928
Sifa za Kielimu za Martha KaruaWakuu
Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?
Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli.
===
Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka kikaaangoni Wakili Martha Karua kutoka nchini kenya wakati akiongea na waandishi wa habari muda huu jijini Dar es salaam.
"Hawa watu hawaja kwa bahati mbaya kama hamjui, hawa watu wanatumika vibaya na watu wenye hofu ya kushindwa katika taifa letu na hawa si wengine ni chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA). Mimi nilikuwa kule wana mipango mingi miovu" -Jimmy Mafufu, Muigizaji
View attachment 3342980
View attachment 3342984
- Shahada ya Sheria (LL.B.): Martha Karua alipata shahada yake ya kwanza ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi, na alihitimu mwaka 1980.
Chanzo: Mzalendo, Wikipedia, lifeofwho.com - Stashahada ya Uzamili ya Sheria: Baada ya kumaliza shahada yake ya kwanza, alijiunga na Chuo cha Sheria cha Kenya (Kenya School of Law) kati ya mwaka 1980 na 1981, ambapo alihitimu stashahada ya uzamili ya sheria inayohitajika ili kujiunga rasmi na taaluma ya sheria nchini Kenya.
Chanzo: Bizna Kenya, Wikipedia - Shahada ya Uzamili (Master’s Degree): Mwaka 2011, Martha Karua alipata shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Marekani (United States International University – USIU).
Chanzo: Wikipedia
- Amewahi kutaja kuwa amepata elimu na muongozo kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuhusu jinsi ya kuwa msanii bora.