PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sifa za Kielimu za Martha Karua
  • Shahada ya Sheria (LL.B.): Martha Karua alipata shahada yake ya kwanza ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi, na alihitimu mwaka 1980.
    Chanzo: Mzalendo, Wikipedia, lifeofwho.com
  • Stashahada ya Uzamili ya Sheria: Baada ya kumaliza shahada yake ya kwanza, alijiunga na Chuo cha Sheria cha Kenya (Kenya School of Law) kati ya mwaka 1980 na 1981, ambapo alihitimu stashahada ya uzamili ya sheria inayohitajika ili kujiunga rasmi na taaluma ya sheria nchini Kenya.
    Chanzo: Bizna Kenya, Wikipedia
  • Shahada ya Uzamili (Master’s Degree): Mwaka 2011, Martha Karua alipata shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Marekani (United States International University – USIU).
    Chanzo: Wikipedia
Sifa za Kielimu za Jimmy Mafufu
  • Amewahi kutaja kuwa amepata elimu na muongozo kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuhusu jinsi ya kuwa msanii bora.
Jimmy Kumshukia Martha ni matusi ya wazi
 
Ama kweli dunia simama nishuke huyu si alitaka kumf!r@ lile demu linaitwa Masha love likakataliwa mpaka likawa linalia? Ana akili gani huyu ya kuongea mambo mazito ya Nchi huyu?


My Country😪😪😪
 
Huyu wa pili, Chiki aliigizaga igizo moja la Kaole kama mwalimu mmoja mnoko mnoko sana. Naona hapa anayaishi yale maigizo yake sasa, unoko na unafiki.
 
Ivi file la wasanii watakao chagiza kwenye kampeni za uchaguzi ishatokaaa ?
 
Hawa watu wangekuwa wanaita hizi press kuikosoa serikali bila shaka kungewekwa masharti ya kiwango cha elimu ili mtu apate kibali cha kufanya sanaa ya maigizo.

Waandishi wao muhimu ni bahasha tu iwepe
 
Sasa kenge kama hawa, kule Kenya kwa wakwe zangu, wanaitwa "academic dwarves" Watu wenye udumavu wa eliminate, jitu halina hata shahada ya elimu,upeo mdogo, linashindana na Senior council! Martha Kalua! Stupid kabisa
 
Elimu ni kitu muhimu sana huku ujerumani ukiwa na PHD jina lako kwenye kirambulisho na system ya serikali linaanza na Dr. Tuangalie anayeongea naa elimu gani na anayeongelewa ana elimu gani. Mimi ni mtanzania lakini uzalendo tuweke pembeni elimu na CV ni kitu muhimu sana.
 
Jimmy Mafufu ni mkubwa NA AKILI NYINGI kuliko kamati kuu ya CHADEMA
 
Hapa ndipo tunapoonekana watanzania hatuna akili na hatujasoma. Sasa wasanii Wanahoja ya kubishana yakiuchambuzi kama dada huyo msomi? Ovyo kabisa, kama wanauelewa na wajuzi basi wangezuia mitandao ya serikali isidukuliwe.
Wawo wabaki kuwa machawa na wavaa Madera na kukaa uwani kuwachamba wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…