PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vijibwa
 
Hawa ni wapumbavu kabisa kuendeleza majibizano na hao wakenya ni ukichaa kwasababu kitendo hicho ndiyo kitazidisha matusi kwa Rais Samia hawa jamaa wamepinda hata Rais wao wanamtukana matusi ya nguoni na hawafanywi kitu. Wewe taahira Jimmy Mafufu usifikirie hawa wakenya watakujibu wewe bali watazidisha matusi kwa Samia. Unajiona wewe una uchungu sana na Samia kuliko Abdul? Nyie ni vilaza na ndiyo maana hata kazi zenu hazivuki mipaka mtaishia kuwa machawa tu pumbavu kabisa. Hawa dawa yao ni kuwapuuza watatukana mwishowe watagundua kuwa tumewapuuza. Nyie wasanii wa bongo mavi kumbe hamna akili kabisa.
 
Ama kweli dunia simama nishuke huyu si alitaka kumf!r@ lile demu linaitwa Masha love likakataliwa mpaka likawa linalia? Ana akili gani huyu ya kuongea mambo mazito ya Nchi huyu?


My Country😪😪😪
Na hao waandishi wanaowapa airtime hawa wajjnga ndiyo wanazidisha matusi kwetu Watanzania toka kwa Wakenya. Kukaa kimya ni jibu zuri kwa minga,leo ndiyo matusi yamezidishwa huko Kenya kwa upuuzi wa waandishi uchwara na wasanii vilaza.
 
Tatizo la Tanzania ni kuwa wajinga wote ndiyo wako kwenye madaraka na wanatumia wajinga wenzao kuwa-support. Hii ni hasara kwa nchi.
 
Halafu huyo mafufu awe na akiba ya maneno asije akaja lia sana maana hii dunia unatakiwa kuchunga sana kinywa maana maisha bado yanaendelea
 
Nilimsikia Mwijaku aking’aka, ‘Put respect to our president’
 
Watu wengine ni wa kupuuza tu
 


Serikali ya ajabu sana Chawa anapewa pesa za kujenga magorofa ndani ya miaka miwili lakini polisi aliyepigania CCM na kulinda nchi kwa miaka 30 analipwa kii'lokotoo mil. 20 ?
 
Niliachaga kuangalia hizo crap over 15 yrs!
Movie gani wanatengeneza au takataka tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…