Wasanii wa Bongo nani kawaroga?

Wasanii wa Bongo nani kawaroga?

Umeandika ukweli mtupu....mbona inawezekana wakafanya collabo za hapa hapa ndani na nyimbo zikabamba tu??

Tatizo wanatafuta shortcut za mafanikio wakati uwezo wao mdogo, Aslay anafanya poa sana nakubaliana na wewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Naam, mkuu pamoja sanaa, labda tuwasaidie kwa kuwaambia kama hivi, labda lakini.
 
Hii ndio bongo lala. Wasanii wanaamini.
1.Ukitaka kutoka kimataifa lazima ucollabo na Davido.
2. Wasanii wa Nigeria wote ni International.
3. Ukitoa video ya mamilioni utatusua hata kama umeimba utumbo.
 
Yaani umetumia nguvu kubwa kiasi iki kutetea ujinga mkuu? Hapa sina lengo la kuwapoint wasanii hao tu, hapana wako wengi tu, hao nimetolea mfano na swala sio kulinganisha et aslay sijui kafanya nin? Hell no, nimejaribu kubainisha namna wanavyozifanyia mzaha ndoto zao za kimataifa ktk hali ya ukichaa.

Sasa huyo Aslay unayemsifu wewe mfano hapo South wanaandaa shindano la muziki ndiyo tunampeleka Aslay? Nimekwambia wewe muziki hujui unabisha.
Ni kweli umeonyesha mizaha yao lakini umebugi wa kutuonyesha kua eti ndiyo ana nafuu.
 
Sasa huyo Aslay unayemsifu wewe mfano hapo South wanaandaa shindano la muziki ndiyo tunampeleka Aslay? Nimekwambia wewe muziki hujui unabisha.
Ni kweli umeonyesha mizaha yao lakini umebugi wa kutuonyesha kua eti ndiyo ana nafuu.

wapi nimemsifu Aslay? huo ni mfano tu, alaf linapokuja swala la muziki bora ukakaa kimya tu, usiongee kabisaa, pili sijaona point yako ata moja hapo uliyoizungumzia zaidi ya kuleta u xxl tu, okei sikulaumu maana unategemea clouds fm ili kujua, so nakuachia hapa.
 
Insikitisha sana...

Natamani siku msanii wa bongo afanya collabo na... Eminem


Cc: mahondaw
 
Hawa bongo fleva skuizi sioni kipya yani nikiskia nyimbo baada ya sku 3 imenichoshaaa heri usikilize taarab tuuu[emoji38]
 
Ndo maana hatuendelei
I
Nimepotezaa muda wangu kuusoma huu ujumbe wa kukatisha wasanii wetu tamaaaaa mtoa maaada hovyo kabisa ...................

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom