Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic.

Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic.

Wasanii wa bongo na classic songs
  • Diamond Platnumz - Lala salama, Ukimwona, Kesho.
  • Mbosso - Nadekezwa
  • Rayvanny ft Zuchu - Number one
  • Zuchu- Nisamehe
  • Ali Kiba - Mack Muga
  • Prof Jay - Piga makofi
  • Lady Jaydee - Machozi
  • Mwana Fa - Mabinti
  • Mandojo& Domokaya - Wanoknok
  • Mpenzi - Dudubaya
  • Nenda - Macvoice
  • Kazi yake mola - Madee
  • Tutakukumbuka - Crazy GK
 
Hujielewi wewe.
Unaleta watoto wakina zuchu na mac voice? Are you serious bro? Au unaleta uchawa wa wcb?
Classic inatengenezwa na yoyote awa unaoona watoto wameshafanya makubwa kuliko your favourite artists
 

Juma nature - Kamanda
 
Tatzo utimu umetawala Sana kwenye hyo list yako, kwamba hakuna wimbo kutoka kundi la wamakonde?
 
"Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka."

Nimejaribu kunukuu maneno yako.

Zuchu
Mac voice
Mbosso
RayVan

Hawa Vijana hawana hata 10yrs kwenye game umejuaje nyimbo zao ni Classic,

Ili nyimbo iwe classic inabd ipite Generation zaidi ya Moja.
 
Chemsha Bongo - Professor Jay
Sugu Moto Chini- Sugu
Mambo ya Pwani- Solo Thang
Juma Nature- Sonia
Gangwe Mobb- Mtoto wa Geti Kali
Lady Jay Dee- Machozi
Mabaga Fresh- Tunataabika
hz ndo nyimbo ambazo zmekaa zaid ya miaka 15 hv na bdo haijachuja
sasa unapomweka mtu kama
macvoice mwenye miez miwili kwemye gemu
huu tunaweza kuuita kuwa ni utoto,
 
Wewe una miaka kumi na ngapi?
 
Nipo radhi-banana zorro

Alikiba-mwana

Kassim mganga-somo,awena

Ben paul-nikikupata

Ray c- mapenzi matamu

Rame dee-kipendacho roho

Dully-sikufahamu

Lady j dee-ule wasibabaishwi na sura

Harmonise-Matatizo

Gozbert-nimesamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…