Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

Malaika nakupenda malaika. Wimbo wenye utata waumiliki. MiriamMakebia aliuimba akasema "today am going to sing a song from Tanzania"

Umeimbwa na wazungu wajapan waafrika wa nchi kadhaa. Kundi la Boney M wameuimba pia.

Bonge la wimbo sana。

Natamani ungeimbwa kwa tempo ya polepole kwa ustadi mkubwa na watz wenyewe. Waimbaji wenye sauti asilia.
 
Back
Top Bottom