Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

Mapenz kitu gani MB dog
Latifa MB dog
 
Captain John Komba _ Hatujinyongi hatunywi sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wimbo wa tembo, ikwepeshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Professor jay ni nyingi sana kiukweli.
 
Hivi classic inaanza miaka mingapi [emoji23]
Miaka ya 50? 60? 70?
Labda kina Mbaraka Mwinshehe ila hawa wa sasa bado nyimbo zao hazijakomaa sana wape miaka mingine 10-20
 
Imekaa ki wcb Sana [emoji23][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Unajua nn maana ya classic songs! Rekebisha iyo list yko halaf utafute nn maana classic sogs
 
Jebby-swahiba
mr blue- tabasamu
Diamond-ukimwona
chege ft diamond- mwanayumba
chege ft diamond- mwache aolewe
Juma nature- Naja
Tunda man ft chidbenzi- nelia
Chidbenzi ft mzeeb yusuph- mashallah
Crazy Gk - sauti ya manka
Alikiba - mac muga, ya karimu, cheketua,single boy aliyoimba na jide commando
Jay dee- Mtalimbo,ndindindi
 
Ferooz_ starehe & boss
Prof J-bongo,zali la mentali,nikusaidieje,ndiyo mzee,kikao cha dharula,msinitenge
Daz Nunda_kamanda,nipe tano na barua
Mb dog_waja,ratifa
Fid q_agost13
Dully_salome,dhahabu
Matonya_vaileti,dunia mapito
Madee_kazi yake mola
K salla_mkiwa
King gk_saut ya manka,utanikumbuk,sistasista
Mwana fa_alikufa kwa ngoma
Jay moe_jua na mvua,maisha ya boading
J Nature_staki dem,hakuna kulala,inaniuma sn
Banana zoro_mama yangu
Nguza_seya
Mwinjuma_kilio cha yatima,mgumba,tunda
Twanga pepeta_jirani,busu la 2002
Soggy_kibanda cha sim
Afande_darubini,mkuki moyoni,mtazamo
20%_money



Kifoo ooh kiifoo kifo hakina huruma,ti tii tii tii ti_jina la huyu marehem limenitok

ILA ZIPO NYINGI TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…