Malaika nakupenda malaika. Wimbo wenye utata waumiliki. MiriamMakebia aliuimba akasema "today am going to sing a song from Tanzania"
Umeimbwa na wazungu wajapan waafrika wa nchi kadhaa. Kundi la Boney M wameuimba pia.
Bonge la wimbo sana。
Natamani ungeimbwa kwa tempo ya polepole kwa ustadi mkubwa na watz wenyewe. Waimbaji wenye sauti asilia.