Habari wanajamvi..hapa bongo kuna wasanii ambao ukiwaangalia na kuwafikiria,unaweza ukajiuliza "hivi huyu asingekuwa msanii angekuwa anafanya kazi gani"??.sasa mimi binafsi ninao wasanii kadhaa nitaorodhesha hapa ambao hawana kabisa muonekano wa kisanii
STAMINA huyu hata haendani na usanii kwanza ni kifupi na ni kitukunyema
DITO huyu ana sura fulani ya kilugaluga na havai kama msanii
DUDU BAYA na JUMA NATURE hawa wana sura mbaya na wamekomaa kama wanaishi vijijini
NIKKI WA PILI huyu haendani na usanii,na hata akivaa vipi huwa hapendezi,inapendeza angekuwa ni mwalimu wa sekondari
BONTA huyu jamaa bora aendelee na kazi yake ya udaktari.haendani na usanii kabisa
ongezea na wewe
NB:Bongo nzima hakuna msanii yeyote yule ambaye ana muonekano wa kisanii kama IZZO BIZNEZZ ,,huyu jamaa ukimuangalia tu kwa jinsi anavovaa,anavotembea,anavoongea,alivyo body yake,kifupi ana image ya kisanii kwelikweli kwa kila kitu..ila kasoro yake hajui kuchana vizuri siku hizi