Wasanii wa bongofleva wasio na mionekano ya kisanii kabisa

Wasanii wa bongofleva wasio na mionekano ya kisanii kabisa

Habari wanajamvi..hapa bongo kuna wasanii ambao ukiwaangalia na kuwafikiria,unaweza ukajiuliza "hivi huyu asingekuwa msanii angekuwa anafanya kazi gani"??.sasa mimi binafsi ninao wasanii kadhaa nitaorodhesha hapa ambao hawana kabisa muonekano wa kisanii
STAMINA huyu hata haendani na usanii kwanza ni kifupi na ni kitukunyema
DITO huyu ana sura fulani ya kilugaluga na havai kama msanii
DUDU BAYA na JUMA NATURE hawa wana sura mbaya na wamekomaa kama wanaishi vijijini
NIKKI WA PILI huyu haendani na usanii,na hata akivaa vipi huwa hapendezi,inapendeza angekuwa ni mwalimu wa sekondari
BONTA huyu jamaa bora aendelee na kazi yake ya udaktari.haendani na usanii kabisa
ongezea na wewe
NB:Bongo nzima hakuna msanii yeyote yule ambaye ana muonekano wa kisanii kama IZZO BIZNEZZ ,,huyu jamaa ukimuangalia tu kwa jinsi anavovaa,anavotembea,anavoongea,alivyo body yake,kifupi ana image ya kisanii kwelikweli kwa kila kitu..ila kasoro yake hajui kuchana vizuri siku hizi
Hiyo ndio research yako uliyoifanya,mpaka kuandika huu Uzi.
 
Pumbafu Sana Wewe, mtu akifuga ndevu kama mchicha ndio mwonekano wa kisanii? kumbe hata maana ya sanaa huijui? unataka wawe kama Rick Ross au kanye mashariki. ushabiki wa sanaa kiulimwengu haupo hivyo dogo, ndio maana hadi Hamorapa anamashabiki wake, wengine kaka zako tumemis hadi achimenengule nyambafu!!!
 
Huu uzi nategemea uwe umewekwa na mtoto wa kike.
 
Members wa jamii forums wasio na mwonekano wa kijamii forums, JUVENILE DAVIS huyu jamaa hafananii na jamii forums ni mlugaluga hana hoja za msingi mada zake ni pumba tupu hapa jukwaani, bora uendelee kuvuna ufuta kwenu huendani na jamiiforums
umekanyagia kapata na yeye
 
Muulize Roma jinsi anavyotolewaga humu kwenye jukwaa za fiesta na freestyle za huyo andunje (stamina a.k.a Mr bone venja)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Andunje
 
Back
Top Bottom