Pre GE2025 Wasanii wa Injili wakiongozwa na Mwamposa wajipanga kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Tunaposemaga kwamba CCM wameishiwa mbinu huwa tunaamanishaga mambo kama haya.

Kwa hiyo sasa hivi hadi wasanii wa Gospel na wenyewe wanaenda kuunga mkono juhudi.

Hizi ni dalili za chama ambacho kipo ni decline.

CCM mbinu kama hizi hazitawasaidia, badala ya kutafuta think tanks na kuboresha ilani yenu mko busy ku-book kina Christina Shusho na Martha Mwaipaja.

======================================

Wasanii wa Injili kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao amesema kuna tukio kubwa la and injili linakuja ambayo litakutanisha wasanii wa Injili Mlimani City kwaaili ya kumuombea Rais Samia.

  • Thanks
Reactions: 1gb
Naona bwana Mengele anawatumia kondoo wake kujipigia mafekeche..hahaha..
Wajinga ndio waliwao
 
Wakuu,

Tunaposemaga kwamba CCM wameishiwa mbinu huwa tunaamanishaga mambo kama haya.

Kwa hiyo sasa hivi hadi wasanii wa Gospel na wenyewe wanaenda kuunga mkono juhudi.

Hizi ni dalili za chama ambacho kipo ni decline.

CCM mbinu kama hizi hazitawasaidia, badala ya kutafuta think tanks na kuboresha ilani yenu mko busy ku-book kina Christina Shusho na Martha Mwaipaja.

======================================

Wasanii wa Injili kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao amesema kuna tukio kubwa la and injili linakuja ambayo litakutanisha wasanii wa Injili Mlimani City kwaaili ya kumuombea Rais Samia.

Mwamposa ni Super chawa wa mama. Hadi anatia kinyaa.
Je kama Mungu hataki Samia awe rais?
Maombi mengine ni ya uchonganishi kumchonganisha Samia na Mungu.
 
Back
Top Bottom