Pre GE2025 Wasanii wa Injili wakiongozwa na Mwamposa wajipanga kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Muwe makini tu na hizo ibada

1000022785.jpg
 
Yule ni mganga hawezi ungana na watu wa Mungu!
Yaani matapeli ndiyo unawaita watu Mungu?

Ubatili unaanzia toka kwa waandaaji wa hayo maombi yenyewe😀😀😃

Kundi la wazinzi linawezaje kuandaa tamasha la maombi. Kwa madhabuhu ipi?

Au hilo tamasha linaandaliwa na wale matapeli manabii/mitume na maaskofu wauza mchanga, mafuta maji bila ya kulipa Kodi?
 
Wakuu,

Tunaposemaga kwamba CCM wameishiwa mbinu huwa tunaamanishaga mambo kama haya.

Kwa hiyo sasa hivi hadi wasanii wa Gospel na wenyewe wanaenda kuunga mkono juhudi.

Hizi ni dalili za chama ambacho kipo ni decline.

CCM mbinu kama hizi hazitawasaidia, badala ya kutafuta think tanks na kuboresha ilani yenu mko busy ku-book kina Christina Shusho na Martha Mwaipaja.

======================================

Wasanii wa Injili kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao amesema kuna tukio kubwa la and injili linakuja ambayo litakutanisha wasanii wa Injili Mlimani City kwaaili ya kumuombea Rais Samia.

sema wahuni wa gospel, wakiongozwa na mhuni mwenzao mwamposa aliyetabiri mwaka jana usingeisha bila twitter kufungiwa. twitter (x) tunayo na tunaitumia, utaona watakaojitokeza, sio kwa kupenda ila njaa, mwamposa atawapa fungu kubwa la pesa zinazotokana na sadaka za maskini ili kupata umaarufu na kutimiza maelekezo ya bashite kwenye kumsaidia samia na ccm, na najua mipango ya namna ya kuenenda wakati wa kampeni, kuzunguka nao kwenye kampeni badala ya kuzunguka kwenye mikutano ya injili, ndocho kinapangwa. unaingiza dini kwenye siasa, watu wakuchague kwa kurubuniwa kwa mambo ya dini, kuvuta wakristo kwenye mikutano yenu kwa minajili ya dini, wakidhani wanakuja kuwaona waimbaji wa dini ili wahubiriwe sisiemu. mtadaiwa hivyo vipawa vyenu, poleni sana, thawabu yenu mtaipata kwa aliyewatuma, kpamoja na wachungaji wengi sana wanafiki (kama Yesu alivyowataja mafarisayo wanafiki) wanaovaa mavazi meupe, kumbe ndani uchafu mtupu, wanaopaka rangi makaburi kumbe ndani mifupa mitupu.
 
Cha ajabu zaidi CCM wanadhani wanapendwa na hawa wasanii.

Hawa wasanii wanawaunga mkono kwa sababu tu wana njaa kama ulivyosema.

Siku CCM ikipoteza dola, hao wasanii watai-drop CCM like a bad habit
 
wanawekewa fungu kubwa, wanakubali kutumikia chama badala ya kumtumikia Mungu. hiyo ndio picha yao halisi, na siwezi kuwalaumu, wao ni wanadamu, wakikataa wataonekana maadui, hawajazoea vita, na wanaogopa kushughulikiwa, hawana nama ila kukubali utuma. nawapa pole sana. ila mwamposa ndio ajenti wao wa sisiemu.
 
Watu na akili timamu wanamsikiliza Steve Nyerere!
Kutoka ukuwadi mpk leo hii eti anawaita watu wamsikilize,hii nchi kuna kiongozi mmoja ndy kayaleta yote haya mabalaa 😄

Ova
 
Kila leo wanabuni matamasha watu wanapiga hela tu

Ova
 
Wakuu,

Tunaposemaga kwamba CCM wameishiwa mbinu huwa tunaamanishaga mambo kama haya.

Kwa hiyo sasa hivi hadi wasanii wa Gospel na wenyewe wanaenda kuunga mkono juhudi.

Hizi ni dalili za chama ambacho kipo ni decline.

CCM mbinu kama hizi hazitawasaidia, badala ya kutafuta think tanks na kuboresha ilani yenu mko busy ku-book kina Christina Shusho na Martha Mwaipaja.

======================================

Wasanii wa Injili kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao amesema kuna tukio kubwa la and injili linakuja ambayo litakutanisha wasanii wa Injili Mlimani City kwaaili ya kumuombea Rais Samia.

Nchi "inaporomoka" kwa Kasi kubwa sana
 
Siasa hizo ...
 
Mojawapo ya useless xy chromosomes ni hii hapa inchini
 
Dalili za kufilisika Mawazo, huu ni upumbavu mkubwa Sana Sana
 
Yaani matapeli ndiyo unawaita watu Mungu?

Ubatili unaanzia toka kwa waandaaji wa hayo maombi yenyewe😀😀😃

Kundi la wazinzi linawezaje kuandaa tamasha la maombi. Kwa madhabuhu ipi?

Au hilo tamasha linaandaliwa na wale matapeli manabii/mitume na maaskofu wauza mchanga, mafuta maji bila ya kulipa Kodi?
Mimi sijui wala sihusiki ila Mwamakula amekengeuka mafundisho!
 
Back
Top Bottom