sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mafanikio hayapimwi hivyo ya muziki huwezi kuimba ngono na Pombe kila siku ukasema wewe ni msanii mkubwa huo ukubwa unapewa na watu wazinzi na walevi tu .
Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva.
Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye.
Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu.
Tamasha la kiingilio kikubwa hapa bongo na linajaza watu kuliko matamasha ya bure.
Akiamua sasa nitrend kwenye muziki hakuna wa kuweka pua yake inabidi wasubiri mpaka aende likizo.
Akiamua kuleta msanii wake mpya ndani ya wiki moja anakuwa supastaa mkubwa na biashara inayolipa. Wengine walijaribu wakachemsha.
Wasanii ombeni msamaha Chibu kabla ajapata hasira zaidi akaleta album yake.
Tshs 10,000.Mkuu tamasha la kiingilio kikubwa linatiza kiasi gani kama kiingilio?
Mtoto mali safi.na anakojolea mtoto mzuri na mbichi zuchu
Hakuna ndugu yake Diamond ambaye sio staa.Mbona hajamfanya dada ake kuwa supastaa?
Wee muhaya haya mambo ya mjini huwezi yaelewa acha yakupite.Mafanikio hayapimwi hivyo ya muziki huwezi kuimba ngono na Pombe kila siku ukasema wewe ni msanii mkubwa huo ukubwa unapewa na watu wazinzi na walevi tu .
kabisa, mileage 0km toka kwenye boksi lake swafi, Domo ka pop cherries za binti mzuri Zuhura hadi rahaMtoto mali safi.
Muulize boss wako kuhusu wahaya ,ndo wamempa Maisha kina Ruge mutahaba Akili kubwaWee muhaya haya mambo ya mjini huwezi yaelewa acha yakupite.
Kwa nyimbo zile za kipumbafu
Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva.
Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye.
Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu.
Tamasha la kiingilio kikubwa hapa bongo na linajaza watu kuliko matamasha ya bure.
Akiamua sasa nitrend kwenye muziki hakuna wa kuweka pua yake inabidi wasubiri mpaka aende likizo.
Akiamua kuleta msanii wake mpya ndani ya wiki moja anakuwa supastaa mkubwa na biashara inayolipa. Wengine walijaribu wakachemsha.
Wasanii ombeni msamaha Chibu kabla ajapata hasira zaidi akaleta album yake.
Ruge kajambanani ampe nani maisha!?Muulize boss wako kuhusu wahaya ,ndo wamempa Maisha kina Ruge mutahaba Akili kubwa
Lile la malegend la Sugu linacharge 20k.Tshs 10,000.
Watu 70Lile la malegend la Sugu linacharge 20k.
Hao uliowataja hawafikii hata robo ya diamond platzKwa nyimbo zile za kipumbafu
Digidigi
Zuena
kanyaga
Ewaa
Ndio awe baba wa bongo flava? ??acha bangi
juma nature
Prof jay
Afande selle
ulamaa
fid q
Ally kiba
Wao tuwaiteje
Digidigi ndo nyimbo gani๐๐๐๐Kwa nyimbo zile za kipumbafu
Digidigi
Zuena
kanyaga
Ewaa
Ndio awe baba wa bongo flava? ??acha bangi
juma nature
Prof jay
Afande selle
ulamaa
fid q
Ally kiba
Wao tuwaiteje
WCB for life!Wasafi team, Mond daima mbele imeisha hio