Wasanii wa kibongo ombeni msamaha kwa Diamond..kabla hali haijawa mbaya

Wasanii wa kibongo ombeni msamaha kwa Diamond..kabla hali haijawa mbaya

Una uhakika na Mond kumbikiri huyo zuhura? Ukute ya nyuma enyewe hajafungua yeye.

Soon mje na Abigail chams ni bk, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisa yeye kasema, na akati katobolewa kitamboo.
Abigail jana kasema hajawah kufanya huo mchezo but alikuwa na mahusiano ndan ya two days then akaona hawezi[emoji23][emoji23][emoji23]bint mkavu yule

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] twende mbele turudi nyuma, zuu ni mtamu sana, anakata mauno balaa
mie hapa mate yananibubujika nikiona kamkalia Mondi kwa lap kisha anakata mauno
sipati picha 6x6
Ni kweli anakata mauno sana ila kuna kitu hujui,mauno ya jukwaan na kitandani ni vitu viwili tafauti

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mimi Sina chuki na huyu Jamaa,he is very good hustler ila Hana kipaji at all.Yaani nipakacha linaloendelea kutuaibishia bongofleva yetu Kwa kutoa nyimbo za kipuuzi na kuzilazimisha kutoboa interneshno,ni fundi wa kusample upuuzi.Najiuliza mbona kina Ed Sheeran Wana sample ila wanatendea Haki ila si huyu Jamaa ambaye ana timu inayojidai kuwa na skio la Muziki.Yaani natamani aseme hata anatokea Nigeria,maana kila akisema anatokea tz aibu naipata Mimi.No offence anajina kubwa,sijui nitajiri na anawafuasi na chawa kibao ila ni kipaji less.


Ngojeni niwape mfano wa kipaji ....mnamjua mboso?
 
Mafanikio hayapimwi hivyo ya muziki huwezi kuimba ngono na Pombe kila siku ukasema wewe ni msanii mkubwa huo ukubwa unapewa na watu wazinzi na walevi tu .
Hao wanaoimba ujumbe mafanikio yao vp mziki umebadilika Babu muziki saiv biashara imba kitu ambacho kinapendwa na wengi
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Halafu Mashabiki wa Diamond wana matatizo ya akili kabisa yaani wamekuwa kama Mademu wake wakati ni watoto wa Kiume. Kuna Dogo Juzi kati nilikuwa nawaambia wenzake kuna Watu wanajua kuimba kuliko huyo Diamond lakini hawapati Airtime na Promo za kutosha. Dogo alianza kunitukana bila sababu tena matusi makubwa makubwa kabisa. Nilichomuambia Wewe ni Mtoto wa Kiume na Mimi ni Mwanamume sitakujibu tusi lolote kwa sababu Alikoolewa Dada yako na Wewe ndio unakoishi. Dogo kauli ilimuuma mpaka akawa anataka kupigana na Mimi. Mashabiki wa Diamond wana shida sana.
 
Dogo alianza kunitukana bila sababu tena matusi makubwa makubwa kabisa.
Diamond mwenyewe aliwahi kuthibitisha hilo na akamtaja na msanii mwenyewe mwenye vocal la kupiga live band akamtaja 'Barnaba' & 'Banana Zoro'
 
Diamond kwa kummliki demu mzuri namba moja zuchu hapo Nampa 💯 kwa mia hicho tu but it is not about music.
 

Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva.

Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye.

Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu.

Tamasha la kiingilio kikubwa hapa bongo na linajaza watu kuliko matamasha ya bure.

Akiamua sasa nitrend kwenye muziki hakuna wa kuweka pua yake inabidi wasubiri mpaka aende likizo.

Akiamua kuleta msanii wake mpya ndani ya wiki moja anakuwa supastaa mkubwa na biashara inayolipa. Wengine walijaribu wakachemsha.

Wasanii ombeni msamaha Chibu kabla ajapata hasira zaidi akaleta album yake.
Umeandika kwa mihemko mno na umesahau kuwa kila mtu ana mwisho na vitu vyake vyote... muda ni hakimu mzuri
 
Ni jambo zuri,cha msingi, serikali ingeweka na kufsnya juhudi ili, wasanii wengine nao, wawe na fulsa, za, kukua kama Mond,
 
Back
Top Bottom