Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Diamond talent anayo ya kuimba na kutunga kwa sababu enzi anatoka, kama angekuwa talentless asingetoboa ila kwa haya anayoyafanya ni kwa sababu anaangalia biashara zaidi.Mimi Sina chuki na huyu Jamaa,he is very good hustler ila Hana kipaji at all.Yaani nipakacha linaloendelea kutuaibishia bongofleva yetu Kwa kutoa nyimbo za kipuuzi na kuzilazimisha kutoboa interneshno,ni fundi wa kusample upuuzi.Najiuliza mbona kina Ed Sheeran Wana sample ila wanatendea Haki ila si huyu Jamaa ambaye ana timu inayojidai kuwa na skio la Muziki.Yaani natamani aseme hata anatokea Nigeria,maana kila akisema anatokea tz aibu naipata Mimi.No offence anajina kubwa,sijui nitajiri na anawafuasi na chawa kibao ila ni kipaji less.
Ngojeni niwape mfano wa kipaji ....mnamjua mboso?
Hajali music ndio maana kwa sasa anadandia chochote kinachotrend ili apate numbers online. Kiufupi kwenye kutengeneza OG hits hamfikii hata msanii wake Zuchu ila anafanya makusudi