Wasanii wa kibongo ombeni msamaha kwa Diamond..kabla hali haijawa mbaya

Diamond talent anayo ya kuimba na kutunga kwa sababu enzi anatoka, kama angekuwa talentless asingetoboa ila kwa haya anayoyafanya ni kwa sababu anaangalia biashara zaidi.

Hajali music ndio maana kwa sasa anadandia chochote kinachotrend ili apate numbers online. Kiufupi kwenye kutengeneza OG hits hamfikii hata msanii wake Zuchu ila anafanya makusudi
 
😄 😄 twende mbele turudi nyuma, zuu ni mtamu sana, anakata mauno balaa
mie hapa mate yananibubujika nikiona kamkalia Mondi kwa lap kisha anakata mauno
sipati picha 6x6
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ila wewe jamaa unapenda mizagamuo
 
Kila nikiona anachoandikaga Roma Mkatoriki kule X hua nakumbuka Uzi wako,
Nje ya maada
 
Sugu na vinega walichaji sh ngapi tamasha lao pale viwanja vya posta? Ile nyomi uliiona?
Hilo tamasha linadhaminiwa na Wasafi media bado inacheza kwenye mikono ya diamond
 
Maagano aliyoingia ili kuiharibu jamii hao wasaniii wengine wanaweza?
 
Sugu kapoteza dira gani mkuu? Wewe na sugu nani kapoteana?
Sugu kafulia isingekuwa hako kahotel ka pesa za mfuko wa jimbo angekuwa anaomba bia sasa hivi. Hiyo bongofleva honors wanaombeba ni kina bro kibacha
 
Sugu kafulia isingekuwa hako kahotel ka pesa za mfuko wa jimbo angekuwa anaomba bia sasa hivi. Hiyo bongofleva honors wanaombeba ni kina bro kibacha
Unafikiri akiuza ile hotel leo anapata sh ngapi?
 
Zuchu mzuri Sana kiukweli hapo mondi ndo kawin kula mtoto mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…