Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

Bongo fleva ilikuwa nzuri enzi za hawa wasanii ila sasa imeharibiwa na kina Diamond ambao hawana la maana zaidi ya kujishebedua tu.
 
Kuna wadada mapacha waliimba na dully sykes wimbo unaitwa raha ya tunda, waliimba wimbo mmoja tu ukawa hit kisha wakapotea sijui wako wapi kwa sasa?
Hot Galz, Ikiundwa na Ndugu wawili Neema na Anna , Huyu Anna hakudumu sana kwenye muziki maana alikuwa anasoma kwa wakati huo na alishaolewa tangu 2016 .
 
Mask Girls kibao kiliitwa Jay..
jina ni SINA HALI. Kilisumbua sana sana!

Jeeeh! Ananisumbua akili yanguu..
Jeeeh! Ananiumiza hisia zanguuuu..

Macho yake, Anikonyeza.
Midomo yake njonjo inanita
Juu yake sina haaaali!
 
Back
Top Bottom