Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

Mchukue Vumilia, mchukue Maunda Zahir Ally Zorro, kisha waweke na dada mkuu Lady Jaydee. Ninaweza kuwasikiliza mwaka mzima bila kubadili wala kuwachoka.

Talking about talent, hawa wadada walijaaliwa bana. Achana na hizi bloiler zenu za siku hizi bila matusi na kukaa uchi hawana jipya.


Niko nasikiliza Amore ya baby Madaha hapa natafuta usingizi. Hii ngoma haitakaa ichuje kwenye maisha yangu, labda maisha baada ya kifo!
 
DATAZ ALIKUWA NA SAUTI TAMU SANA.KINANDA IMO KIFUANI MWAKE
 
Back
Top Bottom