brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
-
- #101
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humjui DJ fetty, yule balaaaa mkuu. Ana kachupi haka ambacho anatembea nacho just in case atapata demu. Wenzake wanamlalamikia sana:
View attachment 402839
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jana nimenunua sukari 2500 imeniuma sana
Enzi hizo alikuwa hashtui watu hata kidogo ila sasa hivi bhana daaaaah!!,Huyu mobeto hapo huo weusi ni wa zamani kabla hajanywa maji mengi
TCRA wanakuhusuHumjui DJ fetty, yule balaaaa mkuu. Ana kachupi haka ambacho anatembea nacho just in case atapata demu. Wenzake wanamlalamikia sana:
View attachment 402839
Kwa hiyo weupe mzuriii??Enzi hizo alikuwa hashtui watu hata kidogo ila sasa hivi bhana daaaaah!!,
Yaaaah, nawapenda sana wanawake weupe, ila weusi sio ki hivyo ni mmoja kati ya wanawake elfu mojaKwa hiyo weupe mzuriii??
Kama nani ulikuwa humjui??Nimependa hii listi, vizuri kuona niliokuwa siwajui.
Lisa jensen alikuwa miss Tanzania namba 3 nyuma ya jokate mwegelo aliyekuwa wa pili na Wema sepetu aliyekuwa wa kwanza, vile vile lissa jensen pia ni video queen aliwahi pia kuwepo kwenye nyimbo ya diamond iitwayo mawazo.hance mtanashati 9,8,5,3.
Hao wengine nimeshawahi kuwasikia, ninaopend soma habari zao nikiwa na muda ni namba 7 na 1 huko insta.
Malaika ni mwanamuziki kaimba nyimbo kama vile Zogo na Sarehance mtanashati 9,8,5,3.
Hao wengine nimeshawahi kuwasikia, ninaopend soma habari zao nikiwa na muda ni namba 7 na 1 huko insta.
Davina ni muigizaji , kacheza filamu nyingi sana, na pia kacheza tamthilia nyingihance mtanashati 9,8,5,3.
Hao wengine nimeshawahi kuwasikia, ninaopend soma habari zao nikiwa na muda ni namba 7 na 1 huko insta.
Shamsa ni kama jide tuuu ile yeye ana vihips[emoji85] !List yako sio mbaya ila Hao mabibi Shamsha Ford na huyo Dj Fetty hawastahili kuwemo hata kwenye 50 bora
Lisa jensen alikuwa miss Tanzania namba 3 nyuma ya jokate mwegelo aliyekuwa wa pili na Wema sepetu aliyekuwa wa kwanza, vile vile lissa jensen pia ni video queen aliwahi pia kuwepo kwenye nyimbo ya diamond iitwayo mawazo.
Vile vile lissa jensen ni muigizaji aliwahi kuigiza na kanumba filamu iitwayo unfortunately love
Malaika ni mwanamuziki kaimba nyimbo kama vile Zogo na Sare