Wasanii wa kike wenye mvuto wa sura na mapenzi

hance mtanashati 9,8,5,3.

Hao wengine nimeshawahi kuwasikia, ninaopend soma habari zao nikiwa na muda ni namba 7 na 1 huko insta.
Lisa jensen alikuwa miss Tanzania namba 3 nyuma ya jokate mwegelo aliyekuwa wa pili na Wema sepetu aliyekuwa wa kwanza, vile vile lissa jensen pia ni video queen aliwahi pia kuwepo kwenye nyimbo ya diamond iitwayo mawazo.

Vile vile lissa jensen ni muigizaji aliwahi kuigiza na kanumba filamu iitwayo unfortunately love
 
Ok nashukuru sikumnoti sababu simfahamu. Naona amekaa na uzuri wake wa Mungu.
 
Back
Top Bottom