Wasanii wa kiume wenye macho ya kuvutia Tanzania

Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua nafasi zaidi ya asilimia hamsini ya Sura. Nimeweza kutazama kazi za sanaa za uimbaji na kubaini baadhi ya wasanii wa kiume wana Macho yenye mvuto kulinganisha na wenzao.

Wa kwanza ni Mr. Blue, kupitia kazi - Mimi na wewe - Kiss Kiss. Blue ana macho maridadi sana kuna muda mpaka nilizania yanaweza dondoka kutokana na jinsi yalivyochomoka. Kupitia Macho yake nabashiri Blue ni mtu poa sana, anaishi vizuri na watu.
View attachment 2999670

Wa pili ni Bushoke, kupitia kazi kama - Dunia mapito, Usiende mbali, Nalia kwa furaha. Sijachoka kuyatizama muda wote jamaa Macho yake angavu sana, na Ni makubwa. Kupitia Macho yake jamaa namwona ni kama mtu mwenye usiri na hekima kubwa.
View attachment 2999671
Pia, kuna viumbe vingine vyenye Macho mazuri ajabu sijavitaja. Lucky vina mioyo ya damu na sio ya mashine hivyo vitaelewa. Je, nimemaliza wote au unadhani kuna msanii nimemwacha? Una comment gani juu ya hili.
mbona rayvan hayupo

Kama huyu mnyakyusa hayapo uzi ufutwe
 
Attachments

  • DB5D268F-D19F-468E-A137-5FFD34463C88.jpeg
    DB5D268F-D19F-468E-A137-5FFD34463C88.jpeg
    47 KB · Views: 8
  • 8C5F169C-E329-41C0-95A1-79D9711D4989.jpeg
    8C5F169C-E329-41C0-95A1-79D9711D4989.jpeg
    33.1 KB · Views: 5
Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua nafasi zaidi ya asilimia hamsini ya Sura. Nimeweza kutazama kazi za sanaa za uimbaji na kubaini baadhi ya wasanii wa kiume wana Macho yenye mvuto kulinganisha na wenzao.

Wa kwanza ni Mr. Blue, kupitia kazi - Mimi na wewe - Kiss Kiss. Blue ana macho maridadi sana kuna muda mpaka nilizania yanaweza dondoka kutokana na jinsi yalivyochomoka. Kupitia Macho yake nabashiri Blue ni mtu poa sana, anaishi vizuri na watu.
View attachment 2999670

Wa pili ni Bushoke, kupitia kazi kama - Dunia mapito, Usiende mbali, Nalia kwa furaha. Sijachoka kuyatizama muda wote jamaa Macho yake angavu sana, na Ni makubwa. Kupitia Macho yake jamaa namwona ni kama mtu mwenye usiri na hekima kubwa.
View attachment 2999671
Pia, kuna viumbe vingine vyenye Macho mazuri ajabu sijavitaja. Lucky vina mioyo ya damu na sio ya mashine hivyo vitaelewa. Je, nimemaliza wote au unadhani kuna msanii nimemwacha? Una comment gani juu ya hili.
Wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
Kweli kuna wakaka wazuri hata kama sio msanii ukimuona anavutia, sisi wanawake hilo tunaliangaliaga sana.( ila hatulipi kipaumbele naomba nieleweke)

Tuachane na hilo la wasanii wakaka wa hivyo wazuri hawanaga hela sijui kwa nini?
Msiniponde mawe mimi nina vijipesa vyangu vya kula mwenyewe siombaji mwanaume, ila wakaka wenye muonekano mzuri, macho mazuri, ni wabahili na hawanaga hela ya maana yaani hadi wanakera.

Kweli Mungu hakupi vyote.

Yaani mchawi alie watenganisha wanaume wenye mwonekano mzuri na hela alaaniwe milele.

Sorry kama niko nje ya mada, nimekumbuka zamani panya mmoja alivyokuwa na mwonekano mzuri macho yake, dah bahili balaa. Happy Sunday.
Hapa umeniongelea mimi kabisa, sina macho ya kurembua kama sample ya hao wakina busoke na mr.blue ila nina nyota ya kupendwa na mademu kuanzia shule, chuo mpaka mtaani ila sasa hapo kwenye kuhonga/kuhudumia ndio hapana kwa kweli.
Ila napata faida ya kupiga mademu wakali ambao wanaume wengine wanatumia gharama kubwa kuwavua chupi
 
Back
Top Bottom