Wasanii wa kiume wenye macho ya kuvutia Tanzania

Wasanii wa kiume wenye macho ya kuvutia Tanzania

Kweli kuna wakaka wazuri hata kama sio msanii ukimuona anavutia, sisi wanawake hilo tunaliangaliaga sana.( ila hatulipi kipaumbele naomba nieleweke)

Tuachane na hilo la wasanii wakaka wa hivyo wazuri hawanaga hela sijui kwa nini?
Msiniponde mawe mimi nina vijipesa vyangu vya kula mwenyewe siombaji mwanaume, ila wakaka wenye muonekano mzuri, macho mazuri, ni wabahili na hawanaga hela ya maana yaani hadi wanakera.

Kweli Mungu hakupi vyote.

Yaani mchawi alie watenganisha wanaume wenye mwonekano mzuri na hela alaaniwe milele.

Sorry kama niko nje ya mada, nimekumbuka zamani panya mmoja alivyokuwa na mwonekano mzuri macho yake, dah bahili balaa. Happy Sunday.
Dunia haina usawa mkuu, hata wanawake wengi wasio na makalio makubwa na sura mbovu ndo wapo wazuri kitandani.
 
Kweli kuna wakaka wazuri hata kama sio msanii ukimuona anavutia, sisi wanawake hilo tunaliangaliaga sana.( ila hatulipi kipaumbele naomba nieleweke)

Tuachane na hilo la wasanii wakaka wa hivyo wazuri hawanaga hela sijui kwa nini?
Msiniponde mawe mimi nina vijipesa vyangu vya kula mwenyewe siombaji mwanaume, ila wakaka wenye muonekano mzuri, macho mazuri, ni wabahili na hawanaga hela ya maana yaani hadi wanakera.

Kweli Mungu hakupi vyote.

Yaani mchawi alie watenganisha wanaume wenye mwonekano mzuri na hela alaaniwe milele.

Sorry kama niko nje ya mada, nimekumbuka zamani panya mmoja alivyokuwa na mwonekano mzuri macho yake, dah bahili balaa. Happy Sunday.
Ni kweli
 
tuanzie kwanza na wewe. wewe wa kiume au wa kike? au trans?
Ni bro wa 40 years huyo Mkuu. Anasema anamiguu laini anayoipenda na kila akioga anahakikisha kajisafisha kila kona ya mwili wake.

Kashagombana sana na ndugu na mama yake kisa tabia zake hizo. Pia hajaoa bado sababu hajampata Sinderela wake.

Alipo hatujui, ila ni jamaa mmoja anafikirisha.
 
Wanaume huwa tunashangaana madushe tofautitofauti maana wengine tunaulizana huwa yanaingizwa wapi kwa jinsi yalivyo makubwa au madogo na si macho. Macho tuwaachie wanawake watushangae. Wanaume ukiona mwenzio kakuzidi dushe huwa tanaahirsha kuoga mtoni hadhani kukwepa kuchekwa maumbile makubwa au madogo
Hayo madushe mnayoshangaana na wanaume wenzako mnakuwa wapi
 
hivi wanawake huwa wakituangalia wanatathmini hadi macho yetu? ndio nasikia leo.
 
Back
Top Bottom