Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hii comment yako inajipinga yenyewe?Kweli kuna wakaka wazuri hata kama sio msanii ukimuona anavutia, sisi wanawake hilo tunaliangaliaga sana.( ila hatulipi kipaumbele naomba nieleweke)
Tuachane na hilo la wasanii wakaka wa hivyo wazuri hawanaga hela sijui kwa nini?
Msiniponde mawe mimi nina vijipesa vyangu vya kula mwenyewe siombagi wananume, ila wakaka wenye muonekano mzuri ,macho mazuri,ni wabahili na hawanaga hela ya maana hadi wanakera
Kweli Mungu hakupi vyote.
Yaani mchawi alie watenganisha wanaume wenye mwonekano mzuri na hela alaaniwe milele.
Sorry kama niko nje ya mada, nimekumbuka zamani panya mmoja alivyokuwa na mwonekano mzuri macho yake, dah bahili balaa. Happy Sunday.
Kwahiyo ndo uniite Panya haki sijapenta [emoji17] sahivi nimezipata sina ubahili tenaKweli kuna wakaka wazuri hata kama sio msanii ukimuona anavutia, sisi wanawake hilo tunaliangaliaga sana.( ila hatulipi kipaumbele naomba nieleweke)
Tuachane na hilo la wasanii wakaka wa hivyo wazuri hawanaga hela sijui kwa nini?
Msiniponde mawe mimi nina vijipesa vyangu vya kula mwenyewe siombaji mwanaume, ila wakaka wenye muonekano mzuri, macho mazuri, ni wabahili na hawanaga hela ya maana yaani hadi wanakera.
Kweli Mungu hakupi vyote.
Yaani mchawi alie watenganisha wanaume wenye mwonekano mzuri na hela alaaniwe milele.
Sorry kama niko nje ya mada, nimekumbuka zamani panya mmoja alivyokuwa na mwonekano mzuri macho yake, dah bahili balaa. Happy Sunday.
🤣🤣🤣🤣Tupe na wasifu wa macho ya Mr Mwanya.
🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo ndo uniite Panya haki sijapenta [emoji17] sahivi nimezipata sina ubahili tena
Kwa hiyo sisi mwenye sura personal na hatuna pesa tuuwawe sio?Kweli kuna wakaka wazuri hata kama sio msanii ukimuona anavutia, sisi wanawake hilo tunaliangaliaga sana.( ila hatulipi kipaumbele naomba nieleweke)
Tuachane na hilo la wasanii wakaka wa hivyo wazuri hawanaga hela sijui kwa nini?
Msiniponde mawe mimi nina vijipesa vyangu vya kula mwenyewe siombaji mwanaume, ila wakaka wenye muonekano mzuri, macho mazuri, ni wabahili na hawanaga hela ya maana yaani hadi wanakera.
Kweli Mungu hakupi vyote.
Yaani mchawi alie watenganisha wanaume wenye mwonekano mzuri na hela alaaniwe milele.
Sorry kama niko nje ya mada, nimekumbuka zamani panya mmoja alivyokuwa na mwonekano mzuri macho yake, dah bahili balaa. Happy Sunday.
Nyie hela mnazo nyie si watafutaji bana🤣 pisi zikikosa pesa kwa ma handsome lazima zije kwenu.Kwa hiyo sisi mwenye sura personal na hatuna pesa tuuwawe sio?
Na ya RayvannyKama macho ya Jay Melody hayapo kwenye list uzi ufutwe
We uko kama Mimi kumbeMimi ni mpenzi mkubwa wa macho, napenda sana.
Ila nayapenda ya kaka mzuri pekee, lols.
Yani mimi hadi love language yangu ni macho, tuangaliane tu machoni ndio napenda.We uko kama Mimi kumbe
Wewe ni ME au KEMacho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua nafasi zaidi ya asilimia hamsini ya Sura. Nimeweza kutazama kazi za sanaa za uimbaji na kubaini baadhi ya wasanii wa kiume wana Macho yenye mvuto kulinganisha na wenzao.
Wa kwanza ni Mr. Blue, kupitia kazi - Mimi na wewe - Kiss Kiss. Blue ana macho maridadi sana kuna muda mpaka nilizania yanaweza dondoka kutokana na jinsi yalivyochomoka. Kupitia Macho yake nabashiri Blue ni mtu poa sana, anaishi vizuri na watu.
View attachment 2999670
Wa pili ni Bushoke, kupitia kazi kama - Dunia mapito, Usiende mbali, Nalia kwa furaha. Sijachoka kuyatizama muda wote jamaa Macho yake angavu sana, na Ni makubwa. Kupitia Macho yake jamaa namwona ni kama mtu mwenye usiri na hekima kubwa.
View attachment 2999671
Pia, kuna viumbe vingine vyenye Macho mazuri ajabu sijavitaja. Lucky vina mioyo ya damu na sio ya mashine hivyo vitaelewa. Je, nimemaliza wote au unadhani kuna msanii nimemwacha? Una comment gani juu ya hili.
Yavutie ili waliwe au?Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua nafasi zaidi ya asilimia hamsini ya Sura. Nimeweza kutazama kazi za sanaa za uimbaji na kubaini baadhi ya wasanii wa kiume wana Macho yenye mvuto kulinganisha na wenzao.
Wa kwanza ni Mr. Blue, kupitia kazi - Mimi na wewe - Kiss Kiss. Blue ana macho maridadi sana kuna muda mpaka nilizania yanaweza dondoka kutokana na jinsi yalivyochomoka. Kupitia Macho yake nabashiri Blue ni mtu poa sana, anaishi vizuri na watu.
View attachment 2999670
Wa pili ni Bushoke, kupitia kazi kama - Dunia mapito, Usiende mbali, Nalia kwa furaha. Sijachoka kuyatizama muda wote jamaa Macho yake angavu sana, na Ni makubwa. Kupitia Macho yake jamaa namwona ni kama mtu mwenye usiri na hekima kubwa.
View attachment 2999671
Pia, kuna viumbe vingine vyenye Macho mazuri ajabu sijavitaja. Lucky vina mioyo ya damu na sio ya mashine hivyo vitaelewa. Je, nimemaliza wote au unadhani kuna msanii nimemwacha? Una comment gani juu ya hili.
Asee wapenda jichoMimi ni mpenzi mkubwa wa macho, napenda sana.
Ila nayapenda ya kaka mzuri pekee, lols.