Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe walianza wananchi halafu ndo celebs wakajoin? Sasa ni lini hapa wananchi wameanza maandamano ya kupigania jambo?Naija bado wana haki ya peaceful demonstarations ambayo tz huko nyuma ilikuwepo ikayeyuka. Wao naija walianza na peaceful demos celebs waka join.
Wasanii wa bongo hata habari walikuwa hawana!Walikuwepo kuwepo tu kama mazombie!Tigershark kakupa mfano hapo. Wananchi wa Naija walianza kwa kukemea SARS na wasanii wakawaunga mkono.
Je, wananchi wa tz walipokemea Akwilina, nk wasanii waliunga mkono?
Aisee,akili za hapa na pale ndio kama hizi!Sio lazima kila movement izae matunda hapo hapo,nyingine ni sauti tu kusikika ili pengine jambo fulani lisijirudie!Ikifika watu wakalazimisha matokeo hapo hapo,ndio hivyo kama ya Nigeria yanatokea!Na hiyo huwa ni uamuzi wa mwisho baada ya kila namna ya kufikisha ujumbe kukwama!Ubongo upi ndugu? Wewe mbona unaandika pumba nimekaa kimya. Kujifanya points zako zina mashiko kuliko za wengine, mlioandika inatosha sio lazima wasanii wafanye. Na hayo maandishi yenu yamesolve tatizo? Huna akili vile vile..kakojoe ulale
We unachukulia kama maandamano ni kitendo flani cha kishujaa wakati si hivyo. Ni kitu ambacho hata mtoto anatakiwa awe anawezeshwa kufanya bila hofu na alindwe. Kwa hiyo laumu waliosababisha kutokuwepo mazingira wezeshi badala ya kulaumu wanaosita kuonesha hisia zao kwa maandamano.Kumbe walianza wananchi halafu ndo celebs wakajoin? Sasa ni lini hapa wananchi wameanza maandamano ya kupigania jambo?
Maandamano yaliyowahi fanyika uwa yameratibiwa na wanasiasa wenye malengo ya kisiasa tofauti na haya ya hawa wapopo ndiyo maana hata mwanzilishi hajulikani.
Hebu wananchi waandamane tuone kama wasanii hawajaunga mkono, lakini kama hilo halijafanyika kwanini tuwalaumu? Au mnataka waanze wao halafu wananchi ndiyo waje kuunga mkono?
Kati yangu mimi na wewe nani analaumu? Kwanini umlaumu msanii? wewe nyma ya keyboard umechukua hatua gani kwanza? Mabadiliko uanza na wewe kabla. Anza wewe kwa kuchukua hatua siyo kujificha nyuma ya keyboard na ID fake halafu ujifanye mpigania haki huku ukilaumu wasanii.We unachukulia kama maandamano ni kitendo flani cha kishujaa wakati si hivyo. Ni kitu ambacho hata mtoto anatakiwa awe anawezeshwa kufanya bila hofu na alindwe. Kwa hiyo laumu waliosababisha kutokuwepo mazingira wezeshi badala ya kulaumu wanaosita kuonesha hisia zao kwa maandamano.
Inaonekana mimi nawe kila mmoja ana msimamo wake na hatuwezi kubadilishana. Kwa hiyo we baki na lako nami nibaki na langu tusiishie kutoleana vi povu bure!!Kati yangu mimi na wewe nani analaumu? Kwanini umlaumu msanii? wewe nyma ya keyboard umechukua hatua gani kwanza? Mabadiliko uanza na wewe kabla. Anza wewe kwa kuchukua hatua siyo kujificha nyuma ya keyboard na ID fake halafu ujifanye mpigania haki huku ukilaumu wasanii.
Kweli kabisa maana kamwe siwezi kubaliana na watu wenye mtazamo ya kwamba haki zao zitapatikana kwa kungoja wengine wawapiganie.Inaonekana mimi nawe kila mmoja ana msimamo wake na hatuwezi kubadilishana. Kwa hiyo we baki na lako nami nibaki na langu tusiishie kutoleana vi povu bure!!
Ukimchagua wewe Lissu inatosha, kila mtu anayo,haki kumchagua amtakaye, mnahubir uhuru halafu watu wakitumia, uhuru huo kumchagua wamtakae mnaanzaaa, kuwaitaa takataka nyambaffffffAsilimia 98 ya waimbaji Tanzania ni takataka wala hujakosea mkuu
Bwana mdogo ni kawaida yangu kutupa mawe haijalishi yamepata nani na kwa wakati gani hata akiwa diamond wakoLeo kidogo umeongea point.
Na wewe akili yako iruhusu ifanye kazi na ifikiri nje ya box!Kwanini tunasema wasanii?Hii ni kwasababu wao ni rahisi kuwafikia watu wengi sana!Mimi hapa huwezi jua kama nimeshawahi kuandika kwenye kurasa zangu za mitandao,hiyo ni kwasababu wigo wangu ni mdogo na maoni yangu yanaweza kuonwa na watu wachache na hao walengwa wasifikiwe!Wasanii ni vioo vya jamii!Wanawajibika kurudisha fadhila kwa jamii maana ndiyo hadhira yao!Waseme pale wanapoona kuna jakbo haliko sawa!
Mpaka wewe unaona wasanii wakitetea wananchi wanapopokwa haki zao ni kuhatarisha maisha yao,basi nchi hii kuna tatizo kubwa sana!
Kama una mpango wa kunijibu,tumia ubongo wako vyema!
Acha uongo, paroranking, Davido, Burna boy wameingia barabarani, unafikiri akili zao kama akina kiba au diamondWao wanatweet kuambia watu waandamane wakati wenzao wanauliwa mtaani..
Asee mi nilimuona Davido tu tena alikuwa na bodyguards wake in disguise. Wengine wapo Ulaya kazi kutweet tu.Acha uongo, paroranking, Davido, Burna boy wameingia barabarani, unafikiri akili zao kama akina kiba au diamond
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji2][emoji2] halafu nikipigwa hapa uwe wa kwanza kunisaidia
itabhanya wewe unalamba Nini?Wasanii walamba miguuu njaaa kalii hawana lolotee
Umepaniki wewe ni Alikiba au Ray kigosi?!We huna akili hata ya kujiongeza... Kubwa jinga kweli wewe... Mwili tembo, akili kisoda....
Hayo maandamano huko Naijeria unajua ni nani kayaanzisha? Davido? Wizkid? Yemi Alade? Au ni msanii yupi?
We upo hapa bongo kutwa kuwalalamikia wasanii mitandaoni waingie road, waingie kufanya nini? Waanzishe maandamano kupinga nin? Hawapati stahiki zao? Wamezuiwa kufanya matamasha? Au kuna nini kinachoendelea kuwahusu wasanii?
Vipi kwani? Mbona we hatukuoni barabarani ukiandamana ili tuje kukuunga mkono?
Vumbapu kabisa hili gozi jeusi la kibongo, kila kitu wanataka tuige.. Je tungefikia hata nusu ya yanayotokea Korea Kaskazini si tungekuwa maiti sahiv?
Limtu linakazania tuandamane eti kwa vile flani kauawa, sijui huyu katekwa, mara yule kapigwa risasi.. Sasa vitu vyao personal vinatuhusu nini sisi? Tunajua lolote kwanini walifanyiwa hayo?
Mara sijui hakuna uhuru wa kuongea! Hahahaaah! Aiseee, hv nani kawafumba midomo mpaka muwe mabubu? Kwahiyo leo ni mwaka wa ngapi hujaongea?
Waacheni wasanii wafanye wanachotaka
Zile hashtag na kushinikiza serikali zimeshasahaulika mara hii?We akili yako bado haijakomaa na ndo maana nashindwa kukushangaa,, We kwa akili yako yanayotokea Naijeria ni sawa na ya Kibiti na Mtwara? Hata kufananisha hujui?
Kumbe mafala bado tunao wa kutosha, nilikuwa sijui...
Afu kwanini iwe wasanii na na isiwe wewe? Huko Naija unakosema ni msanii gani alianza kukemea kabla wananchi hawajaingia barabarani wenyewe?
Wasanii wa nje ya Naija ni nani alianza kukemea yanayotokea kabla ya polisi kuwaua wananchi?
Magaidi wa Bokoharam wakati wanawateka wale mabinti wa shule ni nani uliyemsikia kakemea au kaandamana?
Jitahidi kunafananisha mambo japo uelewa wk ni mdogo