Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,679
- 2,123
- Thread starter
- #21
Kama anachanganya nyimbo za Injili na maisha ya dhambi, mshirikishe mada hii, huenda na yeye hajui kwamba Mungu hafurahii nyimbo zinazoimbwa na watu wanaotenda kinyume na mapenzi yake.Yaani Kama Mimi Ni Mkristo ila Kuna Muimbaji nikimuona tu namuelewa mpaka nimeacha kusikiliza nyimbo zake nisije nikamchukulia Sheria mkononi.
Anaitwa" Bella Kombo" Namuelewa.... saaaa.... Mungu aniepushie Dhambiiiii