Kama anachanganya nyimbo za Injili na maisha ya dhambi, mshirikishe mada hii, huenda na yeye hajui kwamba Mungu hafurahii nyimbo zinazoimbwa na watu wanaotenda kinyume na mapenzi yake.Yaani Kama Mimi Ni Mkristo ila Kuna Muimbaji nikimuona tu namuelewa mpaka nimeacha kusikiliza nyimbo zake nisije nikamchukulia Sheria mkononi.
Anaitwa" Bella Kombo" Namuelewa.... saaaa.... Mungu aniepushie Dhambiiiii
Na Ni Vyema Zaidi Tukaanza Sisi Kwenye Huo Upendo Then Tuupeleke Kwa Huyo Ambaye Alituumba Kwa Mfano Wake,,IIi Tupate Tumaini,,Baraka Na Utukufu Wake Juu Yetu.Hahaa! "Love the Lord your God with all your heart and with all your soul and with all your mind and with all your strength." β€οΈ (Mark 12:30)
Mungu kwanza, baadaye jiraniNa Ni Vyema Zaidi Tukaanza Sisi Kwenye Huo Upendo Then Tuupeleke Kwa Huyo Ambaye Alituumba Kwa Mfano Wake,,IIi Tupate Tumaini,,Baraka Na Utukufu Wake Juu Yetu.