Hee kumbe hata kwenye cooperate events kuna utoto?Vingine vunga tu.
Bongo hatuna sehemu tunayofanya vema tunapuyanga kila sehemu.
Umewahi hudhuria cooperate events au awards zinazotolewa kwa makampuni bora? Ungejionea utopolo mwingine huko. Sisi dunia hii tupotupo mradi tunaishi na kujamba.
Yaan hakna msanii aliyejua kuitendea haki script zaman km yeye wellu, ila sahivi ni nuksi hatareee, yaan anaboa na kukera watazamaji tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]ila mbona zamani wakati siyo tipwa-tipwa
hakuwa hivyo nilikuwa nampenda,
kujifunza tu kingreza kwa ras simba imekuwa tatizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, ila sijajua km wanaandikiwa.Naomba niulize, kwani wakati wa kuandika script uwa hawaandikiwi maneno ya kuzungumza?
Maana uwa kuna muda inakuwa kama wanashindana kuongea kiinglish
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan.[emoji3][emoji3][emoji3] hapana chezeya malkia mweusi
Dada mkubwa govinda umemsahau, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalia KOMBOLELA ukutane na uhalisia wa maisha yetu ya kiswazi achana na hawa wa kujifanya uzungu mwiiiiiiiingi hadi wanaharibu.
Kwenye KOMBOLELA kuna Siwa, Mwadawa, Chiku, Tukae, Ahmad na kaka yao Kobisi.....usiwasahau watoto wao Mashavu mtoto wa Siwa, Bibie mtoto wa Mwadawa na Cholo mtoto wa Kobisi, baba yao Mzee Kikala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nashindwa kumwelewa Welu Sengo,ina maana hafati script au ndivyo uhusika unamtaka awe hivyo?Anazidisha mishauo ukiuliza nini,alizaa na Steve Nyerere.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lolIla jamani bongo movies ni washamba hata kiuhalisia. Niliangalia bongo movies awards iliyofanyika Mbeya sikuweza kuendelea nilibadili channel.
Watu ni washamba wanachezacheza na kujichekesha wengine watu wazima utadhani kijana wa form two. niliona aibu.
Kesho yake naangalia matukio yaliyotokea jana yake naona zee zima eti limepata award linalia michozi hadi mikamasi inamtoka.
Hadi leo nashangaa labda mimi nina matatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hee kumbe hata kwenye cooperate events kuna utoto?
Ni aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23]Ni aibu
Hapo kwenye kunenepa hapo!hivi mtu unanenepaje hivyo utasema huna akili timamu? Kunenepa vile Ni ukosefu wa nidhamu binafsi...Kumudu anamudu sema naazingua.
Si wabongo hatupendi hizo.
Anaboa anaboa narudia anaboa anaboa.
Halafu ana fake sana, zile za kizungu sana.
Halafu kanenepa ovyo, zamani alikua kakaa vema. Sasa kunenepa kule kwa ovyo kawa kama gari iliyopata ajali inahitaji kunyooshwa, kisha bado anavaa ovyoovyo kuonyesha mwili ule wa kibindankoi.
Apunguze mwili atabamba zaidi limwili Kama mmama wa kinyakusaIla Wellu mzuri bana kuanzia sura mpaka chini.
Akivaa nguo zisizombana hatariiiiii zaidi.
Dah!...Apunguze mwili atabamba zaidi limwili Kama mmama wa kinyakusa
🙄Dah!...
Shikamoo mzee.Wakuu, siku hizi ninapata nafasi ya kutizama TV baada ya kustaafu.
Nimekuwa naangalia chaneli ya Sinema zetu ya king'amuzi cha Azam na kukerwa na huu mtindo wa baadhi ya waigizaji wakijifanya kuongea Kiinglishi sasa kwa wasio kielewa inakuwa haina maana.
Wenzetu huwa wanaweka maandishi kama tafsiri.
Pana hizi kama Mwanamuziki na Bamba to bamba zinakera.
Govinda ndio MwadawaDada mkubwa govinda umemsahau, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu ukisikiliza kale ka wimbo ka mwisho muimbaji kawataja.......Siwa na Mwadawa....Chiku, Hamadi na Tukae.....Kobisi ndio kaka wa familia ila ndo shida utajionea
Ndo nani huyu?Wellu Sengo