Wasanii wa sinema punguzeni "Uzungu"

Wasanii wa sinema punguzeni "Uzungu"

Vingine vunga tu.
Bongo hatuna sehemu tunayofanya vema tunapuyanga kila sehemu.
Umewahi hudhuria cooperate events au awards zinazotolewa kwa makampuni bora? Ungejionea utopolo mwingine huko. Sisi dunia hii tupotupo mradi tunaishi na kujamba.
Hee kumbe hata kwenye cooperate events kuna utoto?
 
[emoji1][emoji1]ila mbona zamani wakati siyo tipwa-tipwa
hakuwa hivyo nilikuwa nampenda,
kujifunza tu kingreza kwa ras simba imekuwa tatizo
Yaan hakna msanii aliyejua kuitendea haki script zaman km yeye wellu, ila sahivi ni nuksi hatareee, yaan anaboa na kukera watazamaji tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Naomba niulize, kwani wakati wa kuandika script uwa hawaandikiwi maneno ya kuzungumza?
Maana uwa kuna muda inakuwa kama wanashindana kuongea kiinglish
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, ila sijajua km wanaandikiwa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Angalia KOMBOLELA ukutane na uhalisia wa maisha yetu ya kiswazi achana na hawa wa kujifanya uzungu mwiiiiiiiingi hadi wanaharibu.

Kwenye KOMBOLELA kuna Siwa, Mwadawa, Chiku, Tukae, Ahmad na kaka yao Kobisi.....usiwasahau watoto wao Mashavu mtoto wa Siwa, Bibie mtoto wa Mwadawa na Cholo mtoto wa Kobisi, baba yao Mzee Kikala
Dada mkubwa govinda umemsahau, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ila jamani bongo movies ni washamba hata kiuhalisia. Niliangalia bongo movies awards iliyofanyika Mbeya sikuweza kuendelea nilibadili channel.
Watu ni washamba wanachezacheza na kujichekesha wengine watu wazima utadhani kijana wa form two. niliona aibu.

Kesho yake naangalia matukio yaliyotokea jana yake naona zee zima eti limepata award linalia michozi hadi mikamasi inamtoka.
Hadi leo nashangaa labda mimi nina matatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kumudu anamudu sema naazingua.
Si wabongo hatupendi hizo.
Anaboa anaboa narudia anaboa anaboa.
Halafu ana fake sana, zile za kizungu sana.
Halafu kanenepa ovyo, zamani alikua kakaa vema. Sasa kunenepa kule kwa ovyo kawa kama gari iliyopata ajali inahitaji kunyooshwa, kisha bado anavaa ovyoovyo kuonyesha mwili ule wa kibindankoi.
Hapo kwenye kunenepa hapo!hivi mtu unanenepaje hivyo utasema huna akili timamu? Kunenepa vile Ni ukosefu wa nidhamu binafsi...
 
Wakuu, siku hizi ninapata nafasi ya kutizama TV baada ya kustaafu.

Nimekuwa naangalia chaneli ya Sinema zetu ya king'amuzi cha Azam na kukerwa na huu mtindo wa baadhi ya waigizaji wakijifanya kuongea Kiinglishi sasa kwa wasio kielewa inakuwa haina maana.

Wenzetu huwa wanaweka maandishi kama tafsiri.

Pana hizi kama Mwanamuziki na Bamba to bamba zinakera.
Shikamoo mzee.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
hivi bado tu mnaangalia hizo takataka?
na kama umestaafu, ni ishara ya kufirisika kifedha na kimawazo.
hizo ni za mabeki tatu na mashangingi ya mjini.

kuna siku nilishuka kwenye basi za mkoani kwa sababu ya kuweka muzi za kiswahili.
 
Back
Top Bottom