Wasanii wa sinema punguzeni "Uzungu"

Wasanii wa sinema punguzeni "Uzungu"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kila tamthilia anaboa, hata ktk Pazia pia. Lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1]ila mbona zamani wakati siyo tipwa-tipwa
hakuwa hivyo nilikuwa nampenda,
kujifunza tu kingreza kwa ras simba imekuwa tatizo
 
Wakuu, siku hizi ninapata nafasi ya kutizama TV baada ya kustaafu.

Nimekuwa naangalia chaneli ya Sinema zetu ya king'amuzi cha Azam na kukerwa na huu mtindo wa baadhi ya waigizaji wakijifanya kuongea Kiinglishi sasa kwa wasio kielewa inakuwa haina maana.

Wenzetu huwa wanaweka maandishi kama tafsiri.

Pana hizi kama Mwanamuziki na Bamba to bamba zinakera.
Achana na ujinga wa bongo movie. Kwamba huna pa kwenda ama huna la kufanya?
 
Hakika,

Halafu jinsi umbile lake lilivyo akivaa traki suti kama mwamvuli wa tigo unatembea.

Anapaswa avae magauni au skirt ndefu ndy anapendeza sn
😂😂 lile hips lake silielewagi mana limeanzia kwenye magoti

bora avae macharanga huwa yanampendeza
 
Boss mimi ngoja nikupe siri ya script, katika dialogue kuna reality ambayo inaruhusu kuchapia, kuna utumiaji wa code mixing and switching(hizi kwa kiswahili tutasaidiana) hivyo kwa maana hiyo , huwa hawakosei wanamaanisha wanachokifanya...[emoji4][emoji4][emoji4]
Literature umeelewa best.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu, siku hizi ninapata nafasi ya kutizama TV baada ya kustaafu.

Nimekuwa naangalia chaneli ya Sinema zetu ya king'amuzi cha Azam na kukerwa na huu mtindo wa baadhi ya waigizaji wakijifanya kuongea Kiinglishi sasa kwa wasio kielewa inakuwa haina maana.

Wenzetu huwa wanaweka maandishi kama tafsiri.

Pana hizi kama Mwanamuziki na Bamba to bamba zinakera.
Angalia KOMBOLELA ukutane na uhalisia wa maisha yetu ya kiswazi achana na hawa wa kujifanya uzungu mwiiiiiiiingi hadi wanaharibu.

Kwenye KOMBOLELA kuna Siwa, Mwadawa, Chiku, Tukae, Ahmad na kaka yao Kobisi.....usiwasahau watoto wao Mashavu mtoto wa Siwa, Bibie mtoto wa Mwadawa na Cholo mtoto wa Kobisi, baba yao Mzee Kikala
 
Huwa nashindwa kumwelewa Welu Sengo,ina maana hafati script au ndivyo uhusika unamtaka awe hivyo?Anazidisha mishauo ukiuliza nini,alizaa na Steve Nyerere.
 
Back
Top Bottom