Hakika. Hwa wanasema ''nchi hupata viongozi inayostahili''. Ukienda sehemu ukikuta kiongozi ni mjinga au mvivu basi ujue wananchi wake nao ni wavivu na wajinga... la sivyo wasingeruhusu awe kiongozi wao.Kila siku Kabla ya kulala nyosha mikono juu sema "nchi ya kipumbavu sana hii" mara tatu.
Hapa kikubwa kila mtu afanye mambo yake anayoona yanamfaa. Kuna watu wanapata hasira kwa wanayofanya wengine, kwa Tanzania utakufa na ugonjwa wa moyo
CCM wanalazimisha furaha, japo hata wao mioyo yao inatoa machozi.Wananchi wako bize na mama Samia
Wanasemaje juu ya wizi wa kura, ufisadi, utekaji, mauaji ya wananchi, nk??Mkurugenzi wa Chocolate Princes na Muandaaji wa Matamasha ya Taarabu Ndg. Mboni Masimba Akiwa na Mfalme Muziki wa Taarabu Mzee Yusuph..