Wasanii wa tanganyika : 50 Cent alikataa kuimba kwenye kampeni za Trump licha ya kuahidiwa usd 3 milion(bilion 7 madafu)

Wasanii wa tanganyika : 50 Cent alikataa kuimba kwenye kampeni za Trump licha ya kuahidiwa usd 3 milion(bilion 7 madafu)

Barakoa 001

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
5,436
Reaction score
14,927
Baada ya mgombea wa republican Donald Trump kukoswa risasi katika kampeni zake, wimbo wa 50cent MENY MEN ulitrend na ikawa anthem kwenye kampeni zilizofuata baada ya tukio lile.

Kampeni zilipofika Newyork, team ya kampeni wakamuita 50cent aje kupafomu kwenye kampeni hizo.

Chama cha Trump kikaweka dau la dola milioni 3 mezani(billion 7 na mamilioni kadhaa) lakini 50cent alikataa kwenda kwa sababu hakutaka kuonekana ni wa upande gani kisiasa.

View: https://youtube.com/shorts/HhVwLoxJRuU?si=C2eRxSrv-1_IMJtQ

Ni sawa sanaa ni kazi, lakini kufanya kazi na mtu anaekandamiza HAKI za wengine kwa kisingizio eti unatafuta riziki SIO KWELI.

Tuseme mfano labda mimi ninafanya biashara ya kukodisha bunduki za kuwindia wanyama, anakuja jambazi na mimi ninamjua kabisa huyu bwana ni jambazi lakini ninamkodisha bunduki yangu akaitumie kufanyia uhalifu kwa kisingizio eti nimatafuta riziki

Ma milioni mliyolipwa hazikuwa riziki halali, pesa zile zilikua ni thamani ya damu za watanganyika wenzenu zilizomwagika.

Ni ngumu kusema watu watasusia kusikiliza kazi zenu milele.

Ila mkae mkijua mliwakosea sana ndugu zenu
 
JAY Z mwaka 2008 alipiga kampeni za OBAMA na kushiriki ktk kuapishwa

Nini nataka kusema , Kanye west alimpigia kampeni Trump

Kwahiyo kila MTU ana choice zake kukariri jambo ni ujinga mkubwa.
 
Ha
Unamfananisha 50 cent na wasanii wa Tanzania?
Hakuna anaeweza kukataa bilioni 7 msanii wa nchi hii
Hawa madogo hawaelewi mambo mengi

50 cent kukataa B7

Kitu ambacho hawajui 50 Cent amewahi kukataa zaidi ya hiyo hela ktk deals nyingi

Na 50 Cent huwa anasema kuwa yeye bora alala ndani bila Kazi kuliko kumlipa pesa ndogo
 
Young jeezy na uchawa wa obama yupo wapi sasa.Na kumbuka ile nyimbo yake my president is black
 
Huo ushauri ungempa kwanza Tundu Lissu alipokea hela za Samia ili aweze kusogeza maisha baada ya kutoka ubelgiji hana ramani yoyote, ilitakiwa akatae kama kweli yeye ni mbabe kwenye njaa
 
Huo ushauri ungempa kwanza Tundu Lissu alipokea hela za Samia ili aweze kusogeza maisha baada ya kutoka ubelgiji hana ramani yoyote, ilitakiwa akatae kama kweli yeye ni mbabe kwenye njaa
Acha hoja za kifara wewe, naona makalio yako yamezidi ukubwa kuliko ubongo.
 
Back
Top Bottom