secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Naomba ambomoe haswa!Yule mwamba anaweza aiseee, ndiyo maana hata mademu zake wote wanasura ngumu za baba zao, hawezi kushindwa kumchangamkia huyo mende mlembo kabisa mpaka poda.
Naomba ambomoe haswa!Yule mwamba anaweza aiseee, ndiyo maana hata mademu zake wote wanasura ngumu za baba zao, hawezi kushindwa kumchangamkia huyo mende mlembo kabisa mpaka poda.
Na adabu itamkaa vyema.Naomba ambomoe haswa!
Fayaaa 🔥Na adabu itamkaa vyema.
😂😂😂😂😂😂Yule pimbi hana lolote, pasipo kumwagiwa mafuta na yule bwana mapart wa Marekani, nafikiri asingefika hapo alipo.