Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofauti na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao.
Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza sauti sisi tu wao ni kuslide tu kama hawaoni vile.
Ni tofauti na nchi zingine kama Kenya, Uganda, Marekani, Canada na nchi zote za ulaya. Hii misanii yetu ni ya ovyo haina akili yapo kama mazuzu, matahila Hayajitambui.
Pia soma
~ Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea
~ Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?