Pre GE2025 Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofauti na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao.

Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza sauti sisi tu wao ni kuslide tu kama hawaoni vile.

Ni tofauti na nchi zingine kama Kenya, Uganda, Marekani, Canada na nchi zote za ulaya. Hii misanii yetu ni ya ovyo haina akili yapo kama mazuzu, matahila Hayajitambui.

Pia soma
~ Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea
~ Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?
 
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofaut na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao

Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza sauti sisi tu wao ni kuslide tu kama hawaoni vile

Ni tofauti na nchi zingine kama Kenya, Uganda, marekani, Canada na nchi zote za ulaya. Hii misanii yetu niyahovyo haina akili yapo kama mazuzu, matahila Hayajitambui. Shez zao
Naona Leo umewapumzisha walimu umehamia kwa wasanii...brain Yako huwa inawaza conflict TU ..Huwa haiwazi upande mwingine mzuri
 
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofaut na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao

Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza sauti sisi tu wao ni kuslide tu kama hawaoni vile

Ni tofauti na nchi zingine kama Kenya, Uganda, marekani, Canada na nchi zote za ulaya. Hii misanii yetu niyahovyo haina akili yapo kama mazuzu, matahila Hayajitambui. Shez zao
Mpoto angekemea lakini kwa sasa yuko Dubai.
 
Wanafki sana, Kwenye issue ya maandamano kenya kila "msanii mpumbavu" alionekana kuguswa na kupost

Ila kwa mambo ya hapa nyumbani yanakuwa majinga tuu.

Hata media za bongo nazo ujinga mtupu kabisa mtu anapata airrtime anaanza kunadi na kujibizana vitu ambavyo kwa nchi za wenzetu hata burundi tuu wanatushangaa
 
Kwamba kilichomkuta ndio nini yaani?
Ukikemea serikali afrika , unajiweka matatani..

Waandishi na wasanii wanatamani kutetea haki , kila wakikumbuka uhai ni muhimu kuliko kazi,
Nguvu zinawaishia...

Yeyote anaejitokeza kutetea anatekwa ama anaokotwa kauawa ...
Screenshot_20240909-100942.png
 
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofaut na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao

Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza sauti sisi tu wao ni kuslide tu kama hawaoni vile

Ni tofauti na nchi zingine kama Kenya, Uganda, marekani, Canada na nchi zote za ulaya. Hii misanii yetu niyahovyo haina akili yapo kama mazuzu, matahila Hayajitambui. Shez zao
Huna wasanii, una jumuiko la chawa
 
Wasanii wa serikali hao. Hawawezi kuyaona madhila ya wananchi
 
Back
Top Bottom