Amberruty hata sekondary hajafika
Wameajiri wenye degree kabisa mkuu, dunia hii ya leo bado kuna watu wanaringia vyeti?Afadhali hao walio ishia form two wanatengeneza pesa na hawalalamikii serikali kuhusu ajira, wengi wameajiri walio maliza hiyo form four....kikubwa zaidi wanatengeneza pesa ndefu ambazo wewe ulisoma ukiamini ndio chanzo cha kuzipata. Acha dharau.
Namshangaa huyu mtoa mada, wenye vyeti wameacha nyumbani now wanakaanga chips, wanauza ice cream yeye analeta dharau? Wengi waliofika chuo kikuu wanajuta maana wanaona wamepoteza muda wa kuanza kuzisaka pesa.Wameajiri wenye degree kabisa mkuu, dunia hii ya leo bado kuna watu wanaoringia vyeti?
Yaani acha tu, bora hata hao walioshtuka mapema wakaweka vyeti kabatini, wengine wanakuwa wabishi hadi wanashtukia wanafika umri wa kustaafu bado wana bahasha mkononi.Namshangaa huyu mtoa mada, wenye vyeti wameacha nyumbani now wanakaanga chips, wanauza ice cream yeye analeta dharau? Wengi waliofika chuo kikuu wanajuta maana wanaona wamepoteza muda wa kuanza kuzisaka pesa.
Huyu ni msanii wa nini?,wanabodi nisaidieni hapaAmberruty hata sekondary hajafika
Wengi wana uwezo mzuri tu wa kujieleza maana wengi wamekutana na watu wa mataifa mbali mbali wamepata exposure nzuri tu kuliko alie na elimu ya chuo kikuu amebaki na bahasha mkononi anakutana na watu wa kitaani kwake mawazo yapo ndani ya box.Mleta mada hajasema hawana hela. Amesema hawana uwezo mzuri wa kujieleza.
Sijui kwanini mnampiga mawe!
Umberruty ana degree ya intaprinyuwaa.Amberruty hata sekondary hajafika
Hahaha hapo inabidi avitafune tuu vyeti kwakweliYaani acha tu, bora hata hao walioshtuka mapema wakaweka vyeti kabatini, wengine wanakuwa wabishi hadi wanashtukia wanafika umri wa kustaafu bado wana bahasha mkononi.