Mkuu hongera , nchi hii elimu yake ni MZIGO tu watu wamekaririshwa toka utotoni soma upate kazi nzuri uwe na maisha mazuri, basi mtu ana focus na shule akiwaza ajira na maisha mazuri ndio maana wengi hata wakipata hizo ajira wanaona siku zinaenda hajapata utajiri/ maisha mazuri ndio wanajiingiza kwenye wizi na ufisadi. Ukitaka kujua elimu yetu ni mzigo rais juzi alisema alimtengua mwenye elimu ya chuo kikuu alipokuwa waziri wa ujenzi hiyo kazi akampa wa darasa la saba na aliifanya vizuri tu, rejea mkutano wa rais na wadau wa umeme na Tanesco, kama uliangalia ulijionea waajiriwa wa tanesco wenye PHD walivyokuwa mbumbumbu kwenye maswala ya umeme ukilinganisha na wale wazee wa darasa la saba wanao fanya kazi ya umeme kwa vitendo. Acha watu wajifariji kwa kuangalia vyeti vyao.Mkuu nakuunga mkono [emoji817]%..mm mwenyew Nina degree tena na gpa nzur tu (4.0) ila najuta nimepoteza muda sn kudadadek zang!!!
Ila nimeshaingia kwny business..mpaka kieleweke