Wasanii wa Tanzania wengi wameishia Kidato cha pili, hawana elimu ndio maana wako hivyo walivyo

Kikubwa ni Management. Wasanii ata wa mbele wengi tu hawajasoma ila wana Management nzuri.
 
HII MADA NILICHOGUNDUA WATU HAWAJAMUELEWA MLETA MADA. ANACHOJARIBU KUWASILISHA HAPA NI KWAMBA WASANII WENGI UWEZO WAO WA KUJIELEZA AU KUWASILISHA MAWAZO YAO UKO CHINI SANA HII NI KUTOKANA NA UWEZO WAO FINYU WA KIFIKRA.
HAJAMAANISHA MASIKINI AU WANA PESA SANA.
 
Soma tena vizuri ndugu.
 
Wewe umeelewa kwanza basi tuseme pesa hao wasanii wenyewe wakipata matatizo wanaomba pesa tusemeje sasa? Halafu fuatilia mahojiano yao na vyombo vya habari ni aibu kubwa sana
 
Sawa wanatengeneza pesa wamefanya nin cha maana kwenye Tanzania movie industry, mtoa mada kuna uwezekano aja present mada vizur, lakin ni kweli kwamba ili bongo movie ikue inahitaji watu waliosoma
Kuweza kujimudu kimaisha na kutengneza ajira kwa wengine ni jambo kubwa sana, kama kuna la kuongeza basi hao WASOMI wawasaidie kuwaelekeza ili waboreshe mapungufu kila mahali yapo hata hao maprofesa wana mapungufu ndio maana hata elimu yenyewe haimsaidii alie soma inamfanya ategemee zaidi maisha ya ajira. Na mtoa mada amesema wasanii hajasema kama ni bongo movie tu.
 
Wakuu
Kiukweli hawa wasanii wetu wa Tanzania Baadhi sio wote story Zao kwenye kujieleza utajua tu wana matatizo vichwani mwao.
Wasanii wengi utasikia niliishia form two hata hawaeleweki na ndio maana wanaishi kwa kuigizawhadi wanakufa
Sisemi vibaya lakini mtu ambae hana shule kwa nchi zetu wanakua siowelewa na wanamatatizo mengi sana kwenye akili zao.
we wa darasa la ngapi..?
mbona kama kuandika tu ni chenga..?
#Boliti_jichoni_kwa_mwenzako
 
Wakuu
Kiukweli hawa wasanii wetu wa Tanzania Baadhi sio wote story Zao kwenye kujieleza utajua tu wana matatizo vichwani mwao.
Wasanii wengi utasikia niliishia form two hata hawaeleweki na ndio maana wanaishi kwa kuigizawhadi wanakufa
Sisemi vibaya lakini mtu ambae hana shule kwa nchi zetu wanakua siowelewa na wanamatatizo mengi sana kwenye akili zao.
Nimependa sana uliyosema "kwa nchi zetu".

Marekani mtu kama yule rapper Nas kaacha shule darasa la nane, lakini leo anaitwa mpaka Harvard kujadiliana na profesa wa Harvard kuhusu mashairi na anajieleza vizuri tu.

Hilo lina maana nchi nyingine elimu kama ya kujieleza ipo mpaka kwenye maisha, si shule tu.

Tanzania si wasanii tu, unaweza hata kuwa John Malecela, eminent person of the commonwealth, halafu ukipewa microphone kujieleza mzigo.

Na John Magufuli rais mwenye Ph.D lakini kujieleza kwa ufasaha hata kwa kiswahili mzigo.

Na hapo nimeishia kwa viongozi wanaoitwa John tu.

Unajua Justin Bieber, Chris Brown na 50 Cent wameishia form ngapi?
Hawa wote wamegraduate High School (High school Diploma) waliamua kutokwenda Uni or college
Elimu yao huwezi fananisha na Elimu za wasanii wa bongo
Wasanii wa bongo wanakuzwa mno hakuna celebrity level hata mmoja ni uchafu mtupu.
 
HII MADA NILICHOGUNDUA WATU HAWAJAMUELEWA MLETA MADA. ANACHOJARIBU KUWASILISHA HAPA NI KWAMBA WASANII WENGI UWEZO WAO WA KUJIELEZA AU KUWASILISHA MAWAZO YAO UKO CHINI SANA HII NI KUTOKANA NA UWEZO WAO FINYU WA KIFIKRA.
HAJAMAANISHA MASIKINI AU WANA PESA SANA.
Yy kazungumzia factor kubwa ni elimu , ilo mimi naina sio kweli , diamoñd, chid benz, wanajua kujiekeza lakini hawana elimu kubwa , watu wanazungumzia pesa kwa kuwa pesa almost ndio kila kitu
 
Nimependa sana uliyosema "kwa nchi zetu".

Marekani mtu kama yule rapper Nas kaacha shule darasa la nane, lakini leo anaitwa mpaka Harvard kujadiliana na profesa wa Harvard kuhusu mashairi na anajieleza vizuri tu.

Hilo lina maana nchi nyingine elimu kama ya kujieleza ipo mpaka kwenye maisha, si shule tu.

Tanzania si wasanii tu, unaweza hata kuwa John Malecela, eminent person of the commonwealth, halafu ukipewa microphone kujieleza mzigo.

Na John Magufuli rais mwenye Ph.D lakini kujieleza kwa ufasaha hata kwa kiswahili mzigo.

Na hapo nimeishia kwa viongozi wanaoitwa John tu.

Mi nafikiri maisha ya kukulia vijijini ndio tatizo
 
Una point fulani.

Msingi mzuri wa haya mambo ni miaka ya mwanzo.

Ndiyo maana unakuta jitu limesoma mpaka Ph.D lakini kujieleza ni ushamba mtupu.

Kwa sababu msingi mbovu.
 
Tatizo mfumo wetu wa elimu unalazimisha watu wote kusoma masomo ambayo yameamuliwa na hili linasababisha vijana wengi wanashindwa mfano hamna masomo ya sanaa,michezo,music ambao kwao hao vijana wana uwezo nao unawalazimisha kusoma hizo PCM,PCB,HJK etc lazima wakimbie shule tu
 
Floyd Mayweather ameishia darasa la nne lakini pesa anaweza kuilisha nchi kwa miaka isiyopungua mitano.
 
Namshangaa huyu mtoa mada, wenye vyeti wameacha nyumbani now wanakaanga chips, wanauza ice cream yeye analeta dharau? Wengi waliofika chuo kikuu wanajuta maana wanaona wamepoteza muda wa kuanza kuzisaka pesa.
Acha kuongea ujinga wewe,Elimu huwa haina hasara labda kama ulienda shule kujifunza ujinga,shida ya wabongo mnaenda shule kukua ndio maana mnaona kama elimu haiwasaidii.
 
unatoka povu sana umesha badili BAHASHA ngapi? Elimu ya TZ haisaidii wengi ndio maana wasomi hawaja fanya la maana zaidi ya kukaa kujisifia usomi wao, wengi walio soma wanalilia ajira tu serikalini, shule inasaidia sana ila sio kama alivyosema mtoa mada kuwa wasanii hawana shule, mbona wamefanikiwa? wameweza kutatua changamoto zao? Acha ujinga wewe usie elewa MADA , pole endelea kujisifia ujinga wako
 
Namshangaa huyu mtoa mada, wenye vyeti wameacha nyumbani now wanakaanga chips, wanauza ice cream yeye analeta dharau? Wengi waliofika chuo kikuu wanajuta maana wanaona wamepoteza muda wa kuanza kuzisaka pesa.
Mkuu nakuunga mkono [emoji817]%..mm mwenyew Nina degree tena na gpa nzur tu (4.0) ila najuta nimepoteza muda sn kudadadek zang!!!

Ila nimeshaingia kwny business..mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom