Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa takataka vanessaNikki wa pili,Mwana FA,Billnass,Chemical,Jux,Vanessa Mdee,Wakazi
HII MADA NILICHOGUNDUA WATU HAWAJAMUELEWA MLETA MADA. ANACHOJARIBU KUWASILISHA HAPA NI KWAMBA WASANII WENGI UWEZO WAO WA KUJIELEZA AU KUWASILISHA MAWAZO YAO UKO CHINI SANA HII NI KUTOKANA NA UWEZO WAO FINYU WA KIFIKRA.
HAJAMAANISHA MASIKINI AU WANA PESA SANA.
HII MADA NILICHOGUNDUA WATU HAWAJAMUELEWA MLETA MADA. ANACHOJARIBU KUWASILISHA HAPA NI KWAMBA WASANII WENGI UWEZO WAO WA KUJIELEZA AU KUWASILISHA MAWAZO YAO UKO CHINI SANA HII NI KUTOKANA NA UWEZO WAO FINYU WA KIFIKRA.
HAJAMAANISHA MASIKINI AU WANA PESA SANA.
Kuweza kujimudu kimaisha na kutengneza ajira kwa wengine ni jambo kubwa sana, kama kuna la kuongeza basi hao WASOMI wawasaidie kuwaelekeza ili waboreshe mapungufu kila mahali yapo hata hao maprofesa wana mapungufu ndio maana hata elimu yenyewe haimsaidii alie soma inamfanya ategemee zaidi maisha ya ajira. Na mtoa mada amesema wasanii hajasema kama ni bongo movie tu.Sawa wanatengeneza pesa wamefanya nin cha maana kwenye Tanzania movie industry, mtoa mada kuna uwezekano aja present mada vizur, lakin ni kweli kwamba ili bongo movie ikue inahitaji watu waliosoma
Vanessa kapiga kitabu asee dingiangu.Toa takataka vanessa
we wa darasa la ngapi..?Wakuu
Kiukweli hawa wasanii wetu wa Tanzania Baadhi sio wote story Zao kwenye kujieleza utajua tu wana matatizo vichwani mwao.
Wasanii wengi utasikia niliishia form two hata hawaeleweki na ndio maana wanaishi kwa kuigizawhadi wanakufa
Sisemi vibaya lakini mtu ambae hana shule kwa nchi zetu wanakua siowelewa na wanamatatizo mengi sana kwenye akili zao.
muigizaji wa filamu za xxHuyu ni msanii wa nini?,wanabodi nisaidieni hapa
Nimependa sana uliyosema "kwa nchi zetu".Wakuu
Kiukweli hawa wasanii wetu wa Tanzania Baadhi sio wote story Zao kwenye kujieleza utajua tu wana matatizo vichwani mwao.
Wasanii wengi utasikia niliishia form two hata hawaeleweki na ndio maana wanaishi kwa kuigizawhadi wanakufa
Sisemi vibaya lakini mtu ambae hana shule kwa nchi zetu wanakua siowelewa na wanamatatizo mengi sana kwenye akili zao.
Hawa wote wamegraduate High School (High school Diploma) waliamua kutokwenda Uni or collegeUnajua Justin Bieber, Chris Brown na 50 Cent wameishia form ngapi?
Yy kazungumzia factor kubwa ni elimu , ilo mimi naina sio kweli , diamoñd, chid benz, wanajua kujiekeza lakini hawana elimu kubwa , watu wanazungumzia pesa kwa kuwa pesa almost ndio kila kituHII MADA NILICHOGUNDUA WATU HAWAJAMUELEWA MLETA MADA. ANACHOJARIBU KUWASILISHA HAPA NI KWAMBA WASANII WENGI UWEZO WAO WA KUJIELEZA AU KUWASILISHA MAWAZO YAO UKO CHINI SANA HII NI KUTOKANA NA UWEZO WAO FINYU WA KIFIKRA.
HAJAMAANISHA MASIKINI AU WANA PESA SANA.
Mi nafikiri maisha ya kukulia vijijini ndio tatizoNimependa sana uliyosema "kwa nchi zetu".
Marekani mtu kama yule rapper Nas kaacha shule darasa la nane, lakini leo anaitwa mpaka Harvard kujadiliana na profesa wa Harvard kuhusu mashairi na anajieleza vizuri tu.
Hilo lina maana nchi nyingine elimu kama ya kujieleza ipo mpaka kwenye maisha, si shule tu.
Tanzania si wasanii tu, unaweza hata kuwa John Malecela, eminent person of the commonwealth, halafu ukipewa microphone kujieleza mzigo.
Na John Magufuli rais mwenye Ph.D lakini kujieleza kwa ufasaha hata kwa kiswahili mzigo.
Na hapo nimeishia kwa viongozi wanaoitwa John tu.
Una point fulani.Mi nafikiri maisha ya kukulia vijijini ndio tatizo
Yeye kasema wasanii wa TanzaniaUnajua Justin Bieber, Chris Brown na 50 Cent wameishia form ngapi?
Acha kuongea ujinga wewe,Elimu huwa haina hasara labda kama ulienda shule kujifunza ujinga,shida ya wabongo mnaenda shule kukua ndio maana mnaona kama elimu haiwasaidii.Namshangaa huyu mtoa mada, wenye vyeti wameacha nyumbani now wanakaanga chips, wanauza ice cream yeye analeta dharau? Wengi waliofika chuo kikuu wanajuta maana wanaona wamepoteza muda wa kuanza kuzisaka pesa.
unatoka povu sana umesha badili BAHASHA ngapi? Elimu ya TZ haisaidii wengi ndio maana wasomi hawaja fanya la maana zaidi ya kukaa kujisifia usomi wao, wengi walio soma wanalilia ajira tu serikalini, shule inasaidia sana ila sio kama alivyosema mtoa mada kuwa wasanii hawana shule, mbona wamefanikiwa? wameweza kutatua changamoto zao? Acha ujinga wewe usie elewa MADA , pole endelea kujisifia ujinga wakoAcha kuongea ujinga wewe,Elimu huwa haina hasara labda kama ulienda shule kujifunza ujinga,shida ya wabongo mnaenda shule kukua ndio maana mnaona kama elimu haiwasaidii.
Mkuu nakuunga mkono [emoji817]%..mm mwenyew Nina degree tena na gpa nzur tu (4.0) ila najuta nimepoteza muda sn kudadadek zang!!!Namshangaa huyu mtoa mada, wenye vyeti wameacha nyumbani now wanakaanga chips, wanauza ice cream yeye analeta dharau? Wengi waliofika chuo kikuu wanajuta maana wanaona wamepoteza muda wa kuanza kuzisaka pesa.